Umesahau, hata viatu tuna pair za kutoshaukirudi uje ukosoe kama nadanganya
Ni kweli ulichokisema kuna baadhi ya wadada huwezi kuona nywele zake hata siku moja kutwa kucha wigi makucha kabandika kama jini. Tatizo ni kutojiamini na wanafanya hivyo ili kueavutia na kuwafurahisha nyie..Kwa namba 8 nakubaliana na wewe. Tena ttz sasa ni kwamba wanawake wa kiafrika wanaamua kujivua utu wao na haki yao ya kujivunia ya asili. Muda wote mwanamke wa kiafrika anatamani awe kama mzungu na ndiyo maana wanavaa na kusukia minywele ya watu waliokufa India na kwingineko au mi fibre iliyotengenezwa viwandani. Hili ndilo ninaloshindana na mwanamke wa kiafrika niwe nje ya nchi niwe Tanzania. Simpendi simpendi mwanamke wa aina hii. Nakumbuka wkt nasoma Ujerumani siku moja mdada flani wa South Africa kavaa minywele yake bandia kwenye conference ya mambo ya cultural identity mdada mzungu akamuuliza swali, what is the problem with african women in terms their hair identity? Mdada alijikanyaga na mwishowe kudhalilika sana sbb anazungumzia kujitambua kama mwanamke wa kiafrika lkn mwenyewe hajiambui. Lakini mwisho wa siku ndo ivo mzungu ndo binadamu mwafrika ni kinyago kinachofanana naye. Ni kweli au si kweli???? Sina hakika.
si unajua africa ni zero-brain
1. Wana nguo nyingi sana kuliko wanaume
2. Wanafahamu nani Baba wa watoto wao waliozaa
3. Ni wepesi kupenda,wakipenda wanapenda ukweli ukweli
4. Wanaoga mara nyingi zaidi kwa siku moja
5. Wana huruma sana ingawa mara nyingi huruma yao huwa inawaponza
6. Wanauwezo wa kubadilisha tabia ya Mwanaume muda wowote ule
7. Wanauwezo wa kuishi na kupendeza popote pale hata kama hawana kazi wala biashara
8. Kwao nywele,uso na kucha ndo vitu vya kwanza kufikiria pindi wanapotaka kutoka
9. Wanauwezo wa kupretend kwa muda mrefu kwenye mapenzi
10. WANAPENDA SANA PESA KULIKO WANAUME
Hii itanifanya nione akina Nyoshi Alsadat nao wanavinasaba vya kike ama vipi.1. Wana nguo nyingi sana kuliko wanaume