Mambo 10 ambayo mwanamke anamzidi mwanaume

2. Wanafahamu nani Baba wa watoto wao waliozaa

Hiyo si kweli mara zote kwa sababu inategemea.

Vipi kama mtu alitombwa na wanaume watatu kwa siku moja au kwa siku tatu mfululizo au hata ndani ya wiki moja.

Hapo atajuaje kwa uhakika nani ndiye baba?
 
Hiyo si kweli mara zote kwa sababu inategemea.

Vipi kama mtu alitombwa na wanaume watatu kwa siku moja au kwa siku tatu mfululizo au hata ndani ya wiki moja.

Hapo atajuaje kwa uhakika nani ndiye baba?
unajua mimba inaingia baada ya muda gani?
 
unajua mimba inaingia baada ya muda gani?

Inaingia inapoingia.

Sasa wewe nambie...mwanamke akilala bila kinga na wanaume wawili au watatu kwa siku moja au ndani ya wiki moja, hapo atajuaje yupi ndo aliyerutubisha yai lake?
 
Hiyo si kweli mara zote kwa sababu inategemea.

Vipi kama mtu alitombwa na wanaume watatu kwa siku moja au kwa siku tatu mfululizo au hata ndani ya wiki moja.

Hapo atajuaje kwa uhakika nani ndiye baba?
Duh! we jamaa hata tafsida hakuna?
 
1. Wana nguo nyingi sana kuliko wanaume
2. Wanafahamu nani Baba wa watoto wao waliozaa
3. Ni wepesi kupenda,wakipenda wanapenda ukweli ukweli
4. Wanaoga mara nyingi zaidi kwa siku moja
5. Wana huruma sana ingawa mara nyingi huruma yao huwa inawaponza
6. Wanauwezo wa kubadilisha tabia ya Mwanaume muda wowote ule
7. Wanauwezo wa kuishi na kupendeza popote pale hata kama hawana kazi wala biashara
8. Kwao nywele,uso na kucha ndo vitu vya kwanza kufikiria pindi wanapotaka kutoka
9. Wanauwezo wa kupretend kwa muda mrefu kwenye mapenzi
10. WANAPENDA SANA PESA KULIKO WANAUME
Hizi ni sifa za wanawake waki.....zara MO mimi mama angu anatokea chato anamagauni sita wakati dingi ana suti kibao na mama ndio analima baba sometime anazuga tu

Sasa ukanushe kama mama angu sio mwanamke
 
Back
Top Bottom