Mambo 10 ambayo mwanamke anamzidi mwanaume

1. Wana nguo nyingi sana kuliko wanaume
2. Wanafahamu nani Baba wa watoto wao waliozaa
3. Ni wepesi kupenda,wakipenda wanapenda ukweli ukweli
4. Wanaoga mara nyingi zaidi kwa siku moja
5. Wana huruma sana ingawa mara nyingi huruma yao huwa inawaponza
6. Wanauwezo wa kubadilisha tabia ya Mwanaume muda wowote ule
7. Wanauwezo wa kuishi na kupendeza popote pale hata kama hawana kazi wala biashara
8. Kwao nywele,uso na kucha ndo vitu vya kwanza kufikiria pindi wanapotaka kutoka
9. Wanauwezo wa kupretend kwa muda mrefu kwenye mapenzi
10. WANAPENDA SANA PESA KULIKO WANAUME
Mmmmh! Namba 6 hiyo inanihusu kabisaaaaa......!!
 
Kwa namba 8 nakubaliana na wewe. Tena ttz sasa ni kwamba wanawake wa kiafrika wanaamua kujivua utu wao na haki yao ya kujivunia ya asili. Muda wote mwanamke wa kiafrika anatamani awe kama mzungu na ndiyo maana wanavaa na kusukia minywele ya watu waliokufa India na kwingineko au mi fibre iliyotengenezwa viwandani. Hili ndilo ninaloshindana na mwanamke wa kiafrika niwe nje ya nchi niwe Tanzania. Simpendi simpendi mwanamke wa aina hii. Nakumbuka wkt nasoma Ujerumani siku moja mdada flani wa South Africa kavaa minywele yake bandia kwenye conference ya mambo ya cultural identity mdada mzungu akamuuliza swali, what is the problem with african women in terms their hair identity? Mdada alijikanyaga na mwishowe kudhalilika sana sbb anazungumzia kujitambua kama mwanamke wa kiafrika lkn mwenyewe hajiambui. Lakini mwisho wa siku ndo ivo mzungu ndo binadamu mwafrika ni kinyago kinachofanana naye. Ni kweli au si kweli???? Sina hakika.
 
si unajua africa ni zero-brain
 
si unajua africa ni zero-brain.

Yaan kuna watu mamilioni ni wasomi lakini hawajakombolewa ila ukiwauliza wanakwambia wanapigania haki ya mwanamke. Wkt huo huo hata hiyo haki wanayoipigania hawaijui. Kama wewe mwenyewe hujithamini utu wako huwezi kuwa na hoja. Ukiwauliza wanasema eti wanapambana na mfumodume lkn kujitambua kama wanawake wa kiafrika hawazungumzii na hawana habari. Ivi kwani wewe mwanamke wa kiafrika lazima ufanane nywele na mzungu au muasia na eti lazima uchezeshe kichwa kama wao ati kama nywele zimeingia kwenye macho vile. Huu ni utumwa. Na mimi naona kuwa ni utumwa zaidi ya mfumo dume unaozungumzwa. Ukweli wazungu wanatudharau sana katika hili. Nimeishi Ulaya miaka mi5 natambua kuhusu hili na huwa naona aibu sana wkt mwingi
 
1. Wana nguo nyingi sana kuliko wanaume
2. Wanafahamu nani Baba wa watoto wao waliozaa
3. Ni wepesi kupenda,wakipenda wanapenda ukweli ukweli
4. Wanaoga mara nyingi zaidi kwa siku moja
5. Wana huruma sana ingawa mara nyingi huruma yao huwa inawaponza
6. Wanauwezo wa kubadilisha tabia ya Mwanaume muda wowote ule
7. Wanauwezo wa kuishi na kupendeza popote pale hata kama hawana kazi wala biashara
8. Kwao nywele,uso na kucha ndo vitu vya kwanza kufikiria pindi wanapotaka kutoka
9. Wanauwezo wa kupretend kwa muda mrefu kwenye mapenzi
10. WANAPENDA SANA PESA KULIKO WANAUME
true bro.
 
Back
Top Bottom