Mamaa! Mgeni amevunja glasi ya anayo temea bibi makohozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamaa! Mgeni amevunja glasi ya anayo temea bibi makohozi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkubwa Jalala, Aug 17, 2012.

 1. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna bwana mmoja alijisikia kiu njiani akiwa kwenye safari akaenda kwenye nyumba ya jirani na njia akaomba mjiya kunywa. Mama mwenye nyumba akamwambia mwanawe mpe maziwa, baada kunywa maziwa akawa shukuru na kusema nyinyi ni wakarimu sana yaani nimeomba maji mumenipa maziwa? mtoto akamjibu kwasababu yaliingia panya. Jamaa kwa mshangao akaangusha kikombe mara mtoto akapiga kelele Mamaaaa! mgeni ameangusha kikombe anacho temea bibi makohozi. :eek2:
   
 2. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  mmmmhhh.....teh...teh,,,mbavu zangu!!!
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Houqqqqqqqqqqq houuuuuuuqqqqq!!!!
   
 4. e

  elisha j saidi New Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mamaaa naua m2
   
Loading...