Mama zetu, piteni hapa kidogo kabla hamjalala

Mama zetu, piteni hapa kidogo kabla hamjalala

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,489
Reaction score
1,466
Watoto wengi hawana mahausiano mazuri na baba zao,
kwa sababu ya kusikiliza ufundi wa mama zao katika kusimulia mabaya ya baba zao.
Huyajui ya mama' ako, kwa sababu baba' ako, alichagua kuyaficha ........
kakae chini na baba' ako, mwambie akusimulie machache ya mama' ako, unaweza hata kufa
 
Back
Top Bottom