Kitu kinachomdefine mtu ni wa tabia zip kwa mara ya kwanza unapokutana nae ni mavazi, mengine ndio yanafuata, huwezi niambia mtu kavaa nusu uchi, au kata Key, alafu uniambie et anajiheshim, kama wazazi wake ni watu makini hawawezi kumruhusu avae kihuni, ndio mana hata ukienda kuomba kazi watu hujitahidi kuvaa vizuri, ili waajiri waweze kuwaamini na kuwaona ni watu wa maana ,kwa hiyo mavazi ni kitu muhimu sana, acha kuiga vitu ambavyo vina athali hasi katika Maisha yako iga vitu vizuri, vaa vizuri waheshim wakubwa kwa wadogo nawe utaheshimiwa, acha kuvaa masuruali ya kubana ww mwanamke na kupiga picha za kuonyesha makalio kama ilivyo kwenye avatar yako, jiheshim