Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Huwezi kuiambia jamii eti mama yako kakulea vizuri wakati huna adabu na unavaa nguo za kukuacha uchiMalezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Lakini!!!Malezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Ata biblia ilisema Mtoto mjinga ni hasara kwa mamaye.pyepyepye hebu watue mama zetu
Wala hawahusiki na hizi habari za kupost picha za uchi
Kwani baba hausiki katika malezi ya mtoto?
Radhi yako hata tukiipojea tutafanya unafiki, maana kesho tu! tunakutana nao mtaani wakiwa nusu uchi, au utawaambia waache?Tabia ya mtu mmoja cyo wote jmn kaka zetu, nawaomba radhi kwa niaba ya hao wenzetu waliojikatia tamaa japo ni binadam wenzetu.
HakikaLakini!!!
"The way you dress, is the way you will be addressed!"
Anko ben umeuwaHiki chuma kipo vizuri kwa matumizi ..habari ya malikia wao wa nguvu watakuja wenyewe kukujibu
Mpwa wangu kwani nasema uongo ? Potable fulani hivi ina nyama ,unamkunja anakunjika haswaa [emoji36]Anko ben umeuwa
Mi huwa napata kichefuchefu wanaposema tuthaminiwe huwa napata wakati mgumu kuwaelewa.Siku ya jana, wengi wa watumiaji wa mitandao ya kijamii walijitahidi kuonesha upendo kwa wazazi wao wa kike (mama).
Hata wale wanaopiga picha za uchi na kuzipost kwenye mitandao niliwaona wakiwashukuru mama zao kwa malezi mema waliyo wapatia na kuwaita kuwa ni malkia wa nguvu.
Hapo ndipo napata shida na ninaomba mniondoe kwenye mtanziko huu.
Hawa mama zenu (malkia wa nguvu) ndio wanaowatuma ninyi kuposti nyuchi zenu humu?
Nini faida wanazozipata mnapopost picha hizo?
Baba zenu wanajua kuwa mama zenu ndio wahusika wapicha hizo?
Sawa mpwa nimekuelewaMpwa wangu kwani nasema uongo ? Potable fulani hivi ina nyama ,unamkunja anakunjika haswaa [emoji36]