kweli hata avatar yako inawakilisha ulichoongeaMalezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Tembeeni na chupi basii km mavasi siyo ishuMalezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Mavazi yanamdefine mtu.Malezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Hawa wanaishi porin huko hakuna kuvaa nguo ndio mana wanapunga hewaSiku ya jana, wengi wa watumiaji wa mitandao ya kijamii walijitahidi kuonesha upendo kwa wazazi wao wa kike (mama).
Hata wale wanaopiga picha za uchi na kuzipost kwenye mitandao niliwaona wakiwashukuru mama zao kwa malezi mema waliyo wapatia na kuwaita kuwa ni malkia wa nguvu.
Hapo ndipo napata shida na ninaomba mniondoe kwenye mtanziko huu.
Hawa mama zenu (malkia wa nguvu) ndio wanaowatuma ninyi kuposti nyuchi zenu humu?
Nini faida wanazozipata mnapopost picha hizo?
Baba zenu wanajua kuwa mama zenu ndio wahusika wapicha hizo?
Ukivaa nusu uchi lazima tabia yako iendane na utangazaji wa mwili wakoMalezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Hawa mama zenu (malkia wa nguvu) ndio wanaowatuma ninyi kuposti nyuchi zenu humu?
Nini faida wanazozipata mnapopost picha hizo?
Baba zenu wanajua kuwa mama zenu ndio wahusika wapicha hizo?
Mavazi yanamfanya mtu afanyiwe tathmini kulingana na mwonekano wakeMalezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Mama hana simuDuuh hatarios
Hayo ni matangazo ya mtu binafsi
Pengine mama ake hana ata hyo smartphone sasa ataonea wap haya
Mmnh mwenzangu kwa hapo umebugi,kwahio yule gigy money sio changu yule..?? Mavazi yake tu yanatosha kumtambulisha tabia yake...Malezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans