Mama yangu ni tatizo

1.87 my brother
2.89 my sister
3.91 me
4.99 young sister
5.2004 young sister
hii ndiyo list ya famiia yangu.

Yaani kumbe wewe ni wa 91 ....!!

Hata mdogo wangu wamwisho ni mkubwa kuliko hata huyo kaka yako wa kwanza
Ngoja nimuachie hii kazi Matola ,naona kama itanishinda hivi!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mkuu wangu

Siku hizi wapi?

Au mama yeyoo anabana sana?

Ha ha haaaa mama yeyoo hana shida kabisa ila bill zake ndio zinakimbiza!!!!!
Nipo kaka mkoloni tu anakaba ila tuko pamoja kaka!!!!
 
Yaani kumbe wewe ni wa 91 ....!!

Hata mdogo wangu wamwisho ni mkubwa kuliko hata huyo kaka yako wa kwanza
Ngoja nimuachie hii kazi Matola ,naona kama itanishinda hivi!

ndio maana nilitangulia kukwambia twende taratibu wengine hawa ni wanetu kabisa mwaka aliozaliwa yeye mimi nilikuwa o-level Tambaza.
 
Last edited by a moderator:
Komaa ataelewa mm mwenyewe mama alikataa nikakomaa na mm kama 2years akaelewa na mahari tayari ndoa mwez wa 10
 
1.87 my brother
2.89 my sister
3.91 me
4.99 young sister
5.2004 young sister
hii ndiyo list ya famiia yangu.

.....dahhh, umri sawa na #mapacha wangu ambao ndio 1st born.

Mzee mwenzangu Dark City JF basi tena siku hizi? sikuoni bana.
Rock City....aahh bana, ebu nawe usi myuti kama bro TIMING nawee,... BAK, where art thou?

King'asti, MwanajamiiOne et al... Nyamayao, nyumba kubwa
hebu mkuje pande hii mtoe baraka zenu kwa mtoto huyu,....

Mind you, mkwe wetu ana 18yrs old.
 
Last edited by a moderator:

Dah kumbe JF kuna wazee wa kutosha eeh,,ss itabidi nianze kuwaita mzee Mbu mzee Matola mzee Eiyer, shikamooni
 
Last edited by a moderator:

Dogo achana na habari za mapenzi kwanza, huo umri wako wenzako ndo tunamaliza chuo miaka 10 iliyopita na kazi hatuna, umri wa huuo mtarajiwa wako wenzako ndo tupo A level bado watoto kwa enzi hizo. Hebu someni kwanza, haya mambo yapo tu, hizi habari za kutambulishana mtazifanya tu, usikute huyo ni dada yako maana wanawake tuna mengi usipime.
 
Tatizo unaweza muoa halafu mwisho wa siku ukaungana na mama na nduguzo,wanaume wengi wenu hamna msimamo,hilo ndilo limtishalo
 
Sasa kama unaishi kwako na unampenda sana huyo mke mtarajiwa tatizo ni nini wakati mama yako hana sababu yoyote ya maana ya kumchukia? Endelea na mipango ya harusi, ombeni Mungu awasaidie na kuwabariki katika ndoa yenu. Mama wengine ndivyo walivyo!!! Wanapenda kuingilia maamuzi ya watoto wao badala ya kuwaachia wawe huru kama watu wazima kufanya maamuzi yao.

 
Asanteni kwa hayo yote na nitafanyia kazi mawazo yenu, nashukuru na ninawaombea kwa mungu awajeze mioyo yenu mengi yenye heri. ...........ASANTE............
 
bora hata sikumjibu. yeye na mama yake wote akili kama za diamond na mama almasi. hivi unaweza kujadili mchumba na mwanao wa miaka 18?!
 
bora hata sikumjibu. yeye na mama yake wote akili kama za diamond na mama almasi. hivi unaweza kujadili mchumba na mwanao wa miaka 18?!

Enhenhenhe yani after 4yrs nianze kudiskas mchumba na mcute Wang.
Like seriously?
Huyu anafaa kuolewa nae huyu simtaki huyu sijui non?
Au pengine dogo aseme vizur!
Mama hataki awe na HUYU au hataki awe na YEYOTE maana mama almasi yrye ugomvi wake ni wema tu.mwanae hata akiwa na 200 poa tu.mwenyewe anasema" Siiiina habareeee"
 

ni huyu pekee mwana jf, yeye anadai huyu ninayemtaka mimi hapana ila yupo ambaye anamtaka yeye.
 
pole sana ila jaribu kuchunguza tatizo ni nini hadi madam hampendi huyo mchumba wako...ikushajua tatizo ni nini then akili kumkicha maana mtu huwezi mchukia tu mtu bila sababu...hakikisha unaijua sababu kwanza..
 
Yaani unauliza hilo swali kweli? Utamlinganishaje mchumba na mama yako,kumbe hayajawahi kukuta ebu fuatilia mkasa uliompata Mbasha alivyofanywa na Flora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…