Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
imeandikwa utaachana na wazazi wako na kuambatana na mkeo, penda mkeo temana na mama
wewe binafsi unafuata maandiko ya biblia?
imeandikwa utaachana na wazazi wako na kuambatana na mkeo, penda mkeo temana na mama
Habari wana jf, nina tatizo na ninaomba msaada wako.
Mimi nina mchumba wangu na ni mengi tuliyopanga ya hapo baadaye ili kutimiza azama ya mioyo yetu, lakini ninashindwa kumuelewa mama yangu anatatizo gani?
Kwani kila niongeleapo habari kuhusu mchumba niliyenaye huwa mkari sana na anadai kuwa ninamzarau, kuna siku mtu wangu alipigwa na mdogo wa mama kwa madai kuwa eti hana hazi ya kuwa nami, mchumba niliye naye anadai kuchoshwa na tabia anayoonyeshwa na ndugu zangu wazi wazi kuwa hawamuhitaji tena hata mama yangu mzazi.
Kweli nimeshindwa nifanye nini na ninampenda sana lkn anadai kuwa mzazi na ndugu zangu kama hawamtaki sasa hata nikija kumuoa ni nani atakaye kuwa karibu naye? Nimejaribu kumueleza lkn mama yangu anazidi kumuonyesha chuki dhahiri kuwa hampendi mchumba wangu.
Je, niachane na mchumba wangu kwasababu ya mama? Au niachane na mama yangu ili niendelee na mapenzi yangu kwa mwenzangu?
Naomba msaada wako please.....
Heshima hakuna, bd unaonekan ni mamaboy, hama. Au unampango ukimuoa umuweke humo ndani, na km ndo hivyo nunua filimbi maan utakua refa wa mieleka
Dogo
Kwanza hadi hapo unaonekana huna msimamo ndio maana hata wazazi wako wanakuingilia kwenye masuala yako binafsi
Kwa taarufa yako hapo ndio pa kuanzia kuuonesha uanaume wako na sio kusimamisha storongo yako tu
Mwanaume ni msimamo na kujisimamia
Kumbuka huyo ndie atakaekuja kuwa mke wako, sasa kama hili tu linakushinda mbelenge za familia utaziweza kweli wewe?
Huyo binti amekuona wewe sio mwanaume kwa maana ya kujisimamia na ndio maana anataka kusepa
Simama kijana!
Kwanza hujui mtu aliye imara unadhani utaweza kujua kama wewe ni imara?nashukuru sana brother kwa hayo ila mimi ni imara sana na wala sitetereki isipokuwa ninachohitaji kwenu ni vp nifanye kuhusu mzazi wangu, kwa mwanamke nimepokelewa vizuri tu lkn kwa upande wangu mzazi katia kasoro.
Kwanza hujui mtu aliye imara unadhani utaweza kujua kama wewe ni imara?
Ni mtu gani imara anashindwa ku geal na tatizo la wazazi wake mwenyewe kumuingilia kwenye mambo yake binafsi?
Kitendo cha wewe kuja hapa na kuhitaji msaada hii ina maana hujui hata ufanye nini,sasa huo uimara wako uko wapi?
Bado hujajua tatizo lako lilipo na hilo litakutesa sana!
lejea ktk maandiko yangu hapo awali ni kwamba nisaidieni kutokana na hili, niachane na mzazi niendelee na mapenzi au nimwache mchumba na nimsikilize mzazi? Tafadhali mawazo yako ni muhimu pia.
lejea ktk maandiko yangu hapo awali ni kwamba nisaidieni kutokana na hili, niachane na mzazi niendelee na mapenzi au nimwache mchumba na nimsikilize mzazi? Tafadhali mawazo yako ni muhimu pia.
Kwanza hujui kama ninakusaidia ndio maana unaendelea kulalama tu
Ninachokusaidia wewe hapa kitakusaidia kwenye ndoa yako lakini kibaya zaidi ni kuwa huwezi kujua msaada ni upi na upi sio msaada
Hapa unaendelea kuonesha udhaifu wako wa kutokujua cha kufanya na hili linaonesha vile hata usivyojua umuhimu wandoa na nafasi ya mama yako kwako
Hivi unawezaje kushindwa kujua jambo lakufanya kwenye hilo tatizo lako kama kweli wewe ni mtu ambae unastahili kupewa mtoto wa mtu umuongoze?
Huyo mpenzi wako ni mtu ambae umemuweka kwenye nafasi ya kuja kuwa mkeo upande wa pili mama yako inaonekana hamtaki,hujui ufanye nini,cha kukuambia hapa ni kuwa kitakachokufanya umsikilize mama yako sio kingine bali ni sababu ambazo zinamfanya asimkubali huyo mkeo mtarajiwa
Halafu baada ya hayo kama unazijua sifa za kuwa mke na huyo ambae unatarajia umuoe unajua anazo huna haja ya kujiuliza mara mbili,utagundua tatizo lipo wapi na utakuwa tayari unauamuzi
Sijui kinakushinda nini hapo!
mkuu huyu unamuonea bure, mama yake ana miaka 40 je huwezi kufanya calculation kujuwa huyu bado hajafikia ukomavu huo unaomshauri wewe? naomba twende naye taratibu ili kumsaidia kiukweli.
Aiseee .....
Kumbe ni kabwana kadogo sana eee?
Hii nayo inaonesha vile ambavyo ni vigumu kumshauri maana ili umshauri mtu ni hadi ajue kuwa ana tatizo la aina gani,unaweza kumshauri yeye akaona kama unapiga umbea tu!
mkuu nimeamuwa kuweka kambi huku tujenge familia kwanza, kizazi cha leo kinaangamia. politics pembeni kwanza.
umehadimika sana mitaa hii mkuu, kule kumejaa wavuta bangi wengi siku hizi unawapisha kwa muda tunajikita kujenga familia zetu kwanza huku mmu.
Habari wana jf, nina tatizo na ninaomba msaada wako.
Mimi nina mchumba wangu na ni mengi tuliyopanga ya hapo baadaye ili kutimiza azama ya mioyo yetu, lakini ninashindwa kumuelewa mama yangu anatatizo gani?
Kwani kila niongeleapo habari kuhusu mchumba niliyenaye huwa mkari sana na anadai kuwa ninamzarau, kuna siku mtu wangu alipigwa na mdogo wa mama kwa madai kuwa eti hana hazi ya kuwa nami, mchumba niliye naye anadai kuchoshwa na tabia anayoonyeshwa na ndugu zangu wazi wazi kuwa hawamuhitaji tena hata mama yangu mzazi.
Kweli nimeshindwa nifanye nini na ninampenda sana lkn anadai kuwa mzazi na ndugu zangu kama hawamtaki sasa hata nikija kumuoa ni nani atakaye kuwa karibu naye? Nimejaribu kumueleza lkn mama yangu anazidi kumuonyesha chuki dhahiri kuwa hampendi mchumba wangu.
Je, niachane na mchumba wangu kwasababu ya mama? Au niachane na mama yangu ili niendelee na mapenzi yangu kwa mwenzangu?
Naomba msaada wako please.....
1.87 my brother
2.89 my sister
3.91 me
4.99 young sister
5.2004 young sister
hii ndiyo list ya famiia yangu.
kwahiyo mama yenu amewazaa watano wa kwanza ni wa kiume na wewe wakike wapo watatu nyinyi wote tumbo moja right?
if you don't na mwenza wako amezaliwa mwaka gani?