Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
yani unauliza uachane na mama yako uendelee na mapenzi? du una umri gani wewe? unajua thamani ya mama katika maisha? au we umezaliwa na kiumbe mwingne? vitu vingine mnatuchosha kuja kuomba ushauri.
pendekezo: kuwe na chombo cha ushauri humu ndani kitakachokuwa na watu wachache wa kutuongoza vitu vya kutoa ushauri.
pendekezo: kuwe na chombo cha ushauri humu ndani kitakachokuwa na watu wachache wa kutuongoza vitu vya kutoa ushauri.