Mama yangu ni Bonge la mpambanaji

Mama yangu ni Bonge la mpambanaji

Wow, tell us more please.
This is beautiful, made me want to read more. OP thank you for sharing.
 
Hahahha chief siunajua idea zinauzwa kwnye somo la entrepreneur tulisoma IDEA vs CAPITAL... inaanza IDEA kwanza Ndio mana kuna watu wanauza business idea.. Aaah sema watu wa COMMERCE wanafahamu zaid

Ila kwa uchache tu wa idea misimu ya mavumo ikifika kuna kias cha pesa anatoa na kwnda kuzungusha uko kwa wakulima.. So kama soko linakua vizul kwnye mnada.. Mambo yanakua vizul

Sent using Jamii Forums mobile app
i get u bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yupo wapi?? Samahani lakini mkuu [emoji23][emoji23]!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umemtaja mama kwenye kila kitu, Je! Baba yenu yuko wapi?

CC Zero IQ
 
Mbona sijaskia ukimtaja dingi kabisa yan...
Au mkuu wewe ni product ya single maza?
Singlers wanapataga akili za ziada kuraise familia bila kichwa (baba) sio mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuja kuoa mke hawaivi na mama yako na unakuwa mwanzo wa wewe na yeye kuwa na social distance ya meter 20,000
 
Tatizo linaanzia hapa mama anaweza kuwa bonge la fighter lkn watoto wanaweza kuwa boooonge la viazi lkn sikosei wewe mpenzi
 
Acha tu niseme bi mkubwa wangu ni bonge la fighter.. Licha ya kaz anayofanya Kua na maslahi madogo lakini mambo anayoyafanya ni makubwa.. Mama yangu ni mwalimu wa shule ya msingi ila mungu kamjalia akili ya MAISHA..

Maisha ya walimu wa S/M wengi mnayajua ni mwendo wa madeni tu mwanzo mwisho Deni linaisha uku linakuja uku.... Mpka muda mwingine unataman kuacha kazi.. Kuna kipind mama alishawai kunitamkia ivo nikiwa form 2.. Nikamwambia pambana.. Lakin kwa msoto wote uo bado bi mkubwa.. Kasimama.. Anawasaidia sana ndugu zake, anatusomesha sisi wanae mpka ndugu zake.. , anawahudumia wazaz wake kadri awezavyo..

Kwnye family tupo wa 3.. Mim kama first born na wenzangu wa 2 (wote wa kike).. Kingine ninachoshukulu kwa bi mkubwa ametupanga vizul.. Imagine mim kama mtto wa kwanza nipo chuo kikuu kimoja cha AFYA hapa nchini nimebakiza semester moja nimalize tunaisubil COVID-19.. ila anaenifatia yupo form 3.. Na anaefata Ndio ameanza darasa la kwanza mwaka huu ( 2020).. Nais hii imempa muda mzul..

Kama first born najitahid Ku play part yangu vizul sana ikiwemo kujenga uaminifu. Mkubwa sana kuna kipind nikiwa likizo alinipa pesa nisimamie ujenz wa nyumba.. Bas mjengo unaanza mpka unakamilika sijaichukua hata.. TSh.100.. Expenditure zote nilizofanya nilikua nazinote kwnye notebook.. Baada ya ujenz kuisha nikamkabidh zile kalatasi nikamwambia matumiz Ndio kama hayo na pesa full ulizonikabidh zilikua hizi na zilizobaki hizi.. Daah kiukwel hakuamini nais alidhani pesa yote ingeisha.. Akamega kias. flan cha pesa akanipa.. Guys hakuna jambo zuli kwnye kazi za watu kama UAMINIFU.. Ukiwekwa sehemu acha Tamaa.. Toka siku hiyo hakuna password yake nisiyoijua kuanzia BANK mpka miamala ya kwnye simu.. Kila jambo la maendeleo analotaka kufanya lazima anishilikishe.

Honestly bi mkubwa ni mtu wa kubana sana SAVING zinamtoa sana na miradi yake mengine.. Kuna siku aliniambia mwanangu ukianza kujitegemea jalibu kuweka walau 10% ya Pato lako kwa mwezi.... Kulingana na kipato chako.. Akanimbia usiwe mtu wa kumaliza elfu 20 Au 15 kwa siku kwnye kula tu.. Hahaha mwenyewe ana msemo wake anasemaga "TUMBO HALINA SHUKRAN" ila siku moja moja sio mbaya Una enjoy vitu vizul.. Daaaah Mungu niwekee mama yangu Nami nije kumlea... Inshaallah

Mungu awape nguvu wakina mama + wakinadada wapambanaji wote na kuendeleza hizi race.. Uwe umeajiliwa, umejiajili, Au umeajiliwa + kujiajili) mwenyezimungu awazidishie..

Kama hii thread imekuja sehemu sio mniwie radhi wakuu maana hili Ndio jukwaa langu pendwa Humu JF . na linalotembelewa na watu wengi.. Finally tujikinge na COVID-19..

Nawasilisha
From Caglar SOYUNCU



Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo linaanzia hapa mama anaweza kuwa bonge la fighter lkn watoto wanaweza kuwa boooonge la viazi lkn sikosei wewe mpenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ukimaliza masomo uje nikuoe umpunguzie bimkubwa majukumu ya kukulisha
 
Back
Top Bottom