Mama yangu adui yangu

Mama yangu adui yangu

Mshikaji huoni hata aibu???????...

Hii story imeandikwa kwenye moja ya magazeti ya global publishers ltd - - - ni hadithi ambayo nimeisoma na nikaja kuiachia njiani coz mbeleni ikawa inaanza kuboa tu.

Tuwe wabunifu, jamaa MziziMkavu, naona umefanya kucopy na kupaste...!!!!!!! ....

Nitarudi soon kuweka link ya hiyo story - coz nimeiona wameitupia kwenye website yao...!!!
 
Last edited by a moderator:
Mshikaji huoni hata aibu???????...

Hii story imeandikwa kwenye moja ya magazeti ya global publishers ltd - - - ni hadithi ambayo nimeisoma na nikaja kuiachia njiani coz mbeleni ikawa inaanza kuboa tu..

Tuwe wabunifu, jamaa MziziMkavu, naona umefanya kucopy na kupaste...!!!!!!! ....

Nitarudi soon kuweka link ya hiyo story - coz nimeiona wameitupia kwenye website yao...!!!

HII HAPA http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/mama-yangu-adui-yangu-35
 
Mshikaji huoni hata aibu???????...

Hii story imeandikwa kwenye moja ya magazeti ya global publishers ltd - - - ni hadithi ambayo nimeisoma na nikaja kuiachia njiani coz mbeleni ikawa inaanza kuboa tu..

Tuwe wabunifu, jamaa MziziMkavu, naona umefanya kucopy na kupaste...!!!!!!! ....

Nitarudi soon kuweka link ya hiyo story - coz nimeiona wameitupia kwenye website yao...!!!

HII HAPA MAMA YANGU ADUI YANGU -35 - Global Publishers
Nikuonee aibu wewe kama nani kwangu mimi?Wewe kinakuuma kitu gani mimi ni Ki kopi na ku paste? umetumwa na hawa watu wako? nina kuheshimu na wewe niheshimu tafadhali kwenda zako shika mpango wako tafadhali usiniharibie usiku wangu MR. CONFIDENT
 
wewe jamaa ni ----- sana. Watu woote tunaifurahia hadithi hapa tangu januar bt umeibuka sijui kutoka wap? Nakusihi usome philosophy kidogo hasa areas of metaphysics na Logic itakusaidia kuthink logically? Umeshindwa kujitambua kama wewee n shigongo au la? Usiingilie majukum ya watu ndg yangu wee kaa kimya tuache sie tusomee hadithi hapahapa? Kwanza naona wewe sio great thinker so i wonder why upo hapaje?
 
MziziMkavu muulize alikuwa wapi siku zote ndo aje leo!?
Mwambie sio wote wanauwezo wa kununua magazet kila leo, sio wote wanapata mda wa kusoma magazet, wengine wanamda wa kusoma lkn wana aleji na magezeti ya ukuda
wengne wakina sisi tukinunua vocha tunapata airtime na bundle faida mara 2 (yaan hatununui andazi, tunanunua kitumbua tunakula na tunapata mafuta ya kujipaka)
so wakati mwingine unaweza ukaingia haina haja hata kuchangia @@@@ sana huyu!!
tena mkuu tupia nyingine leo j.mos au ongeza na stor zingine ka 2 hivi ili zote tuwe bize nazo!!!

waswali wanasema mtoto akilia mpe/mlambishe pipi uone!!
Sasa huyu alialia hapa embu mpe link ya ile story ya Shija na wakina Sabina!
Nadhan akiwa kule huku tutapumua!alaaaa!
 
Mkuu gody na mkuu mvuv nimemsamehe huyu Mkuu.MR. CONFIDENT hajuwi analo litenda anataka apate umaarufu juu ya mgogo wangu , nime msamehe kama Bwana Yesu anavyosema wasameheni maaduwi zenu na nyinyi pia msameheni huyu MR. CONFIDENT tukimsamehe tutapata kuingia kwenye uzima wa milele peponi asante kwa kuniunga mkono mubarikiwe wote.
 
Last edited by a moderator:
MAMA YANGU ADUI YANGU -36-

ILIPOISHIA:
Siku ile nililala pale na kubaki na dada kwa ajili ya kunisaidia kwa vile miguu haikuwa na nguvu. Nilikaa kwa mganga kwa wiki mbili nikiendelea kupata tiba.

Tiba ile ilinisaidia kwani niliweza kusimama na kutembea lakini kwa shida. Pia nilikuwa na mabadiliko makubwa katika afya yangu, nilikuwa tofauti na nilivyokwenda kwani awali nilikuwa mtu wa kubebwa tu.

Mpaka naondoka kwa mganga, damu ilikuwa imekata, hata hamu ya kula nilikuwa nayo. Tatizo lilikuwa kwenye nguvu za miguu, nilikuwa siwezi kusimama au kutembea kwa muda mrefu.

SASA ENDELEA...

Pia nilikatazwa nisirudi kwangu mpaka mganga atakapokwenda kupatengeneza. Kipindi chote nilichokuwa kwa mganga sikumuona mzee Sambi.

Mara ya mwisho kuonana naye ilikuwa hospitali siku nilipomuuliza kuhusu mkewe kuja nyumbani kwangu.Tangu siku ile alipoondoka sikumuona tena.
Nilijikuta najawa na mawazo kuhusu kupotea kwa mzee Sambi kwa sababu niliamini matatizo yote yanatokana na yeye. Nilijiuliza kuna nini kimemsibu mpaka kunikimbia?

Lakini muda ule sikumfikiria sana yeye zaidi ya afya yangu, niliendelea kutumia dawa nilizopewa na mganga ili kuimarisha afya yangu. Nilitumia zile dawa kwa wiki lakini miguu ilikuwa bado haijapata nguvu.

Nilirudishwa tena kwa mganga baada ya miguu kuanza kupasua na kuwaka moto. Usiku nilikuwa silali kutokana na ukali wa maumivu, nilikuwa nakesha nikilia. Mbona niliteseka! Vitu vingine visikie kwa mtu lakini usiombe vikukute.

Kutokana na kusikia maumivu makali hata kutembea nilishindwa kwani kwenye nyayo kulikuwa kama kuna vidonda. Nilipofika nilianzishiwa dozi nyingine.

Baada ya kunywa siku ya pili mwili ulianza kubabuka ngozi kama nyoka, kitu kilichonitisha sana.
Mganga alisema ile ni sumu iliyokuwa mwilini hivyo ilikuwa inatoka. Nilitakiwa kujipaka mafuta mazito mwili mzima usiku kabla ya kulala ili asubuhi nikiamka nikute ngozi iliyobabuka imebanduka.

Nilikuwa najipaka kopo lote la mafuta, mwili ulikuwa kama nimetumbukia kwenye tope la mafuta. Ngozi iliyotoka ilibanduka taratibu, ilichukua zaidi ya wiki kumalizika.

Baada ya kukoboka mwili, kazi ikabakia nguvu kwenye miguu ambayo haikuonesha mabadiliko. Maumivu ya miguu yaliisha tatizo likabaki kwenye nguvu. Kuwaka miguu kuliisha na kubadilika kuwa ya baridi na kuonesha dalili zote za kupooza.

Hali ile ilizidi kunichanganya akili, kila kukicha nilikonda mtoto wa kike na kubakia kichwa kama guruguja. Duniani watu wanateseka, nilikuwa namaliza mwezi kwa mganga, kazi yangu ilikuwa kukaa kwa muda wote mpaka hata mgongo ukaanza kunisumbua. Muda mwingi nikawa nalala kama nyoka.

Ilionesha wazi mganga alichemsha kuniponyesha japokuwa hakutaka kusema. Miguu ilianza kukonda na kuwa midogo. Nilijikatia tamaa na kuanza kukataa dawa kwa kuamini nilikuwa nakunywa kama maji kwa vile hakukuwa na mabadiliko yoyote ya dawa nilizokunywa.

Niliwaomba wanirudishe nikafie nyumbani lakini mama na dada zangu waliniomba niendelee kuvumilia kwa vile mganga alisema hajakata tamaa.
“Jamani kama mmenichoka naomba mnirudishe nikafie kwangu.”
“Mwaija mwanangu sisi wote tunaumiza vichwa juu yako. Hakuna mwenye furaha kila mmoja anateseka kwa ugonjwa wako.”

“Sasa kama siponi kuna faida gani kuendelea kukaa kwa mganga, mi najua nakufa kwa nini msinirudishe nikafie nyumbani?”
“Mwaija usiseme hivyo, kuugua siyo kufa.”
“Jamani mimi nimeshakufa, nasubiri kuzikwa.”
“Hapana mwanangu, basi tufanye mpango wa kukupeleka kwa mganga mwingine.”
“Sitaki mwenda kwa mganga yoyote niacheni nife.”

Ilibidi nirudishwe nyumbani baada ya kushindikana kutibika. Nilirudishwa nyumbani kumalizia siku zangu za kuishi zilizobakia. Kila kukicha hali yangu ilikuwa mbaya.
Nilikonda mpaka uti wa mgongo ulitoka, nilipolala nilihisi naumia kwa vile nilikuwa nalalia mifupa. Kula nilishindwa, chakula changu kikuu kilikuwa uji tena nusu kikombe.

Jamani maradhi mengine yasikie kwa watu si ya kuugua, nikawa kila siku lazima nipoteze fahamu. Kuna siku kutokana na maelezo ya mama walidhani nimekufa, kilio cha dada zangu kilikusanya watu nje.

Ilikuwa ni baada ya kupoteza fahamu kwa siku mbili, kilichositisha kuzikwa kwangu ni joto la mwili ambalo wazee walisema wanaweza kunizika ningali hai.

Baada ya hapo sikuelewa kinachoendelea mpaka niliposhtuka baada ya kupiga chafya mfululizo. Nilipofumbua macho nilijikuta sehemu ambayo haikuwa ngeni lakini bado sikuwa na uhakika nayo.

Nilipojaribu kunyanyuka nilishindwa, nilipojipapasa bado nilikuwa kwenye mifupa mitupu. Kutokana na harufu niliyokuwa naisikia nilijua pale ni kwa mganga.

Nilijiuliza pale ni wapi na kwa nini wamenipeleka tena kwa mganga ikiwa tulikubaliana nisubiri mauti yangu. Nikiwa bado nipo katikati ya mawazo kwa nje ya chumba nilichokuwa nimelala, nilisikia sauti ya watu wakizungumza.
Nilisikia sauti ya mama akizungumza na sauti nyingine ambayo ilinishtua.

Itaendelea Jumatano.
 
Kaniboa sana huyo Mwaija kutorudi kwa yule wa Mganga wa Maji Matitu kufungwa kizazi..Hata kama no ya Suzy hana lakini alikuwa anapajua...
 
Mzizimkavu tutachoka kuisubiri kila wakati km vipi uwe unaPost nyinginyingi maanake hata Constration itapungua sasa..a
 
Huyu mwaija mi sijui hata niseme nini juu yake, mamake amemshika akili na amenifunga macho kawa kipofu, maskini mwaija unahangaika kumbe kikulacho kinguoni mwako pole mwaya
Kaniboa sana huyo
Mwaija kutorudi kwa yule wa Mganga wa Maji Matitu kufungwa kizazi..Hata
kama no ya Suzy hana lakini alikuwa anapajua...
 
we nae umetokea wapi? Mi huwa nawashangaa watu, kama thread unaona haikuhusu c upite uwaachie inaowahusu
Mshikaji huoni hata
aibu???????...

Hii story imeandikwa kwenye moja ya magazeti ya global publishers ltd - -
- ni hadithi ambayo nimeisoma na nikaja kuiachia njiani coz mbeleni
ikawa inaanza kuboa tu.

Tuwe wabunifu, jamaa MziziMkavu, naona umefanya
kucopy na kupaste...!!!!!!! ....

Nitarudi soon kuweka link ya hiyo story - coz nimeiona wameitupia
kwenye website yao...!!!
 
Last edited by a moderator:
Mzizi huyu ni nani tena anatuletea giza kwenye hadithi yetu, kinamuuma nini hata kama inatoka kwenye gazeti? Ukienda kwenye jukwaa la siasa mbona asilimia kubwa ya mambo yanayojadiliwa ni kutoka kwenye magazeti, hebu atutotokee hapa, jf ina majukwaa kibao kama hapa panakuboa nenda hata jukwaa la mapishi
Nikuonee aibu wewe kama
nani kwangu mimi?Wewe kinakuuma kitu gani mimi ni Ki kopi na ku paste?
umetumwa na hawa watu wako? nina kuheshimu na wewe niheshimu tafadhali
kwenda zako shika mpango wako tafadhali usiniharibie usiku wangu
MR.
CONFIDENT
 
Wote wanaosema story ni kuCopy na kuPaste nafikiri ni wapuuzi flan hivi kwani hii ni moja ya kazi za Fasihi Andishi,,sasa wote waliopo humu JF unafikiri wapo Tanzania ndugu mpaka waanze kununua magazeti ya Shigongo?mbona ww hukuiweka?
Be a Great Thinker...
 
Huyu mwaija mi sijui hata niseme nini juu yake, mamake amemshika akili na amenifunga macho kawa kipofu, maskini mwaija unahangaika kumbe kikulacho kinguoni mwako pole mwaya

Halafu huyo Bi.Mkubwa wake anavyotoa Support,,,dah!:laugh:
 
Mzizi huyu ni nani tena anatuletea giza kwenye hadithi yetu, kinamuuma nini hata kama inatoka kwenye gazeti? Ukienda kwenye jukwaa la siasa mbona asilimia kubwa ya mambo yanayojadiliwa ni kutoka kwenye magazeti, hebu atutotokee hapa, jf ina majukwaa kibao kama hapa panakuboa nenda hata jukwaa la mapishi
Mkuu ram huyu.@MR. CONFIDENT katumwa na wakubwa wake wa kazi lakini kwangu hafui dafu nitamzima kama maji yanavyozima moto shauri yake wewe muache anifuate fuate dawa yake ipo jikoni.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom