stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Mzizi Mkavu safi sana mkuu mkuu kwa hadithi yako nilishawahi ione kwenye magazeti pendwa lakini niliipuuzia kutokana huwa sina desturi ya kusoma magazeti ya udakau.
Kiukweli kwa mara ya kwanza tangia nianze kusoma riwaya mbalimbali hii hadithi imeshanitoa machozi mara mbili aisee.
Kiukweli kwa mara ya kwanza tangia nianze kusoma riwaya mbalimbali hii hadithi imeshanitoa machozi mara mbili aisee.