Mama yako akiwa na Jamaa unajisikiaje?

Mimi hata awe na roho nzuri vipi huyo jibaba, ZIWEZI KUFURAHIA NIKIONA MY DINGI ANAREPLESIWA HIVIHIVI!!!! HELL NO!!! Especialy kama yupo hai!!!! Navojijua ningekuwa tu bado NINA BIG HOPES THEY WILL WORK THING OUT NA KURUDIANA!!! EVEN BY A MIRACLE!!!LOL!! (Hope is the last thing you loose!!!)

Huyo mbaba nitamuheshimu tu ila NITASONYAJE KIMYA KIMYA!!!! NA KUNUNA ALMANUSURA KUPASUKA!!! KILA SIKU NAMUOMBEA MABAYA TUU! (Dont start judging)

Ila kama mdingi ametangulia mbele za haki, basi NITAFURAHI mom nae kapata a second chance of HAPPINESS, Ntamfagiliaje huyo mbaba for making my mom smile again!!!!!
 
Mimi hata awe na roho nzuri vipi huyo jibaba, ZIWEZI KUFURAHIA NIKIONA MY DINGI ANAREPLESIWA HIVIHIVI!!!! HELL NO!!! Especialy kama yupo hai!!!! Navojijua ningekuwa tu bado NINA BIG HOPES THEY WILL WORK THING OUT NA KURUDIANA!!! EVEN BY A MIRACLE!!!LOL!! (Hope is the last thing you loose!!!)

Huyo mbaba nitamuheshimu tu ila NITASONYAJE KIMYA KIMYA!!!! NA KUNUNA ALMANUSURA KUPASUKA!!! KILA SIKU NAMUOMBEA MABAYA TUU! (Dont start judging)

Ila kama mdingi ametangulia mbele za haki, basi NITAFURAHI mom nae kapata a second chance of HAPPINESS, Ntamfagiliaje huyo mbaba for making my mom smile again!!!!!

We Si Mamaa Wa Mizing?
Je, kama Ding Yako Yu Mzima,Na Huyo Anayemreplace Pochi Inauzito(Anakusev Kila Unapokaukiwa),Vp Utamchukia?
 
Kuna tatizo kubwa zaidi hamjalizungumzia.

Mimi wengi wa hao nao waona na affair baada ya divorce au kufiwa na waume; wanakuwa na affair na waume za watu; hapo ndio inakuwa issue.

Kama si waume za watu basi serengeti.

Ukweli unabaki kuwa ukifika umri fulani ukajikuta uko peke yako find something else to do ili kulinda heshima ya watoto.

Otherwise utakosa kuheshimiwa na hutakuwa na power ya kukanya watoto wako.

Mama yangu ali divorce na sijawahi kumuona na mwanaume. I respect her for that!
 
unakuwa mtoto wa kiume wa kukaa kimya. 'wanaume' wengine mnatuaibisha
 
Mkuu hayo ni maisha yake, na kama unampenda hautakasirika bali ni kumtakia mema.., Kama utaumia au kukasirika basi fahamu kwamba physiologically haupo stable na wewe ni selfish wala sio mature...

Kumbuka kwamba yeye ni binadamu kama wewe na kuwa mama yako hakumfanyi asiwe na hisia za kibinadamu (falling in love na mengineyo) Kama amepata mtu anayempenda, kumjali na asiyemu-abuse na yupo happy tashukuru Mungu kwamba yupo happy (Her Life Should Not Revolve Around You) na wewe kutaka iwe hivyo ni u-selfishness
 
Naomba kuuliza kwa sababu wengine tuna uhusiano na wanawake wenye watoto wanaolingana umri na sisi au wanatuzidi kidogo au tunawazidi kidogo
kama Baba yako labda alifariki au ulilelewa na single parent au wazazi wako wameachana halafu ikatokea unaishi na mama yako au unamtembelea mara kwa mara na ikatokea kuna lijamaa mara nyingi linakuwa na mama yako beneti,yaani muda wote wamegandana japo huambiwi chochote kuhusu huyo jamaa lakini common sense itakuambia huyu jamaa ananitafunia mama yangu
utafanya nini utamchukia jamaa utampiga mkwara kama mama hayupo au utamweshimu au utamezea na kujifanya hakuna kitu kinaendelea?
kama una ndugu zako wengine wa kuzaliwa na nyie wote ni mature utaongea nao either kuwapigia au kwa kutania na kuuliza huyu jamaa anayekuwa na mama ni nani?
je utaendelea kumweshimu mama yako?halafu ikitokea siku ukaamka usiku ukasikia miguno kutoka chumbani mwa mama utafanya nini???da!

Aisee inategemea na umri na mahusino uliyokua nayo na huyo mjamaa wa mamayako before hawajakua wapenzi....
Mfano...kijana labda anasoma Chuo hapo UDSM, anakaa mbezi beach..hapo chuo kakutana na msongo mmoja katoka huko kanda za ziwa..yaaani ni msongo haswaaa... chuo kinafungwa unamkaribisha jamaa home angalau atoe stress kidogo kabla ya kurudi huko bush kwao...... sasa jamaa kwa kuwa ni msongo mama anammpenda na anakusihi ufate nyendo zake....mama anasisitiza kijana asubiri tu mpaka chuo kifunguliwe....maisha yanaenda chuo kinafunguliwa mnarudi hostel chuo.... mara jamaa unaona anabadilika kimavazi...mpaka kimanukato..anakotoa pesa hujui.......Na maranyingi weekend huwa akitoka anakuambia anarudi usitoke na ikifika usiku anakupigia kukutaarifu kuna demu kampata hivyo amembana hatarudi tena...... siku moja jpili unarudi home asubui na mapema ili uwai chai.... kabaaah! jamaa huyo kakaa sofani kifua wazi na kipensi huku maza kamlalia mapajani wanawatch CNN news..
na story hapo chuo mshkaji ana mashine kubwa balaaa..wamempajina la utani "mguu wamtoto"..
Hehehe lazima fujo tokee aisee..du!
 
Kwa jinsi nimpendavyo mama yangu huyo jamaa ntamtafutia watu wakumla 0713 hadi akashonwe hospitali ..nyambaf!
 
nitamuheshimu kama mama yangu maana yeye ndiye aliyenizaa ila hilo lijamaa lazima nilivizie nilikate nyeti zake, nyambafu zake

Kama angekuwa ni baba yako anakidemu ungeichimbua au ungemsifu kuwa kaopoa? Mwache mamayo apate utamu unless uko tayari kumpa wewe. "Kula huli, wenzio wakitaka kula unawazuia"
 
Akili ya mwanamke mda mwingine ni ndogo kama jicho la mbuni sio wote lakini kwa hiyo inawezekana na hilo lijamaa limemurubuni mother

Sasa wewe unataka nini? unataka umrubuni mama yako, mie nadhani kama kuna amani haina haja mama ni mama tu hakuna mwingine inabidi aheshimiwe, ila jamaa ana vujo anampiga mama yako mbele yenu hapo una haki ya kukataa na kumfukuza, unaposema akili ya mwanamke ni ndogo kama jicho la mbuni hapo unakosea, ni kwa sababu hujapepetwa wewe mpaka ukasahau kwako wewe, respect kwa wamama.
 
Ni ngumu kweeeli kweli!

Cha kufanya ni kukausha tu kama hakuna kitu ume-note. Kisha huyo jamaa akiondoka unamweka mama kitako, akueleze kinaga ubaga huyo jamaa ni nani kwake... Najua kwa tamaduni za kiafrika si rahisi mama kulimeza swali la namna hiyo kutoka kwa mwanae ila inatakiwa nawe kuwa firm katika hilo na kumwambia mama ikiwa hili lijamaa linakula mzigo, basi iwe ni mbali na macho ya watoto (yaani ninyi mlio watoto wa mama huyu anayeliwa). Kiukweli haijalishi kama jamaa anakuzidi sana au kidogo au mnalingana au unamzidi! Ukweli unabaki kuwa utaugulia tu kujua kuna jamaa tena unamuona mara kwa mara bayana kwamba anakula mzigo uliokuwa wa baba yako.... Aisee nouma!
 
Hata kama ni mama heshima iwepo

lazima wafanyie hayo mambo yao hukohhuko
sio kuleta mtu nyumbani mbele ya watoto....
 
Ushawahi sikia kitaani watu wanasema ile nyumba ya wahuni?

Ni sababu ya mambo kama haya.

Mama analeta boyfriend; binti analeta boyfriend; kaka analeta girlfriend...vurugu mechi.

Kuna mama mtu mzima alikuwa jirani yetu...mwanasiasa...hana mume; nasikia aliachika siku nyingi; ana watoto wakubwa na wajukuu; lakini anabadili mabwana tu; wazee wenzie; obvious ni nyumba ndogo (nzee). Heshima iko wapi sasa.


Na watoto wake nao wamekuwa mule mule...fulu kuleta vijukuu home.

Kiasi kwamba alikuwa na mdogo wake anamlea; ambaye alikuwa na umri mdogo kuliko hata mwanae wa kwanza; yule dada akapata mchumba msabato jirani yao; mama mkwe wake akapiga biti kuwa pale huoi labda kama sijakuzaa. Aliolewa ila kwa mbinde. Mdada mwenyewe alikuwa katulia familia ilitaka kumuharibia.

Hata kama ni mama heshima iwepo

lazima wafanyie hayo mambo yao hukohhuko
sio kuleta mtu nyumbani mbele ya watoto....
 
duh, sijui nitajisiakiaje, mixtured feelings i guess.

Nadhani amezidi uaminifu mno, i will be happy for her, hata akimtambulisha kwangu sitajali kabisa.
 
Ushawahi sikia kitaani watu wanasema ile nyumba ya wahuni?

Ni sababu ya mambo kama haya.

Mama analeta boyfriend; binti analeta boyfriend; kaka analeta girlfriend...vurugu mechi.

Kuna mama mtu mzima alikuwa jirani yetu...mwanasiasa...hana mume; nasikia aliachika siku nyingi; ana watoto wakubwa na wajukuu; lakini anabadili mabwana tu; wazee wenzie; obvious ni nyumba ndogo (nzee). Heshima iko wapi sasa.


Na watoto wake nao wamekuwa mule mule...fulu kuleta vijukuu home.


Yaani ili kuweka heshima nyumbani
hata wa kiume ni marufuku kubadili badili wasichana na kuwaleta nyumbani
ukileta mtu nyumbani basi ni huyo huyo tu
kubadili unabadili huko nje.....
hapo hata dada,mama wataelewa somo...
 
Back
Top Bottom