Mama yake mzazi Blandina Nyoni afariki dunia

Mama mzazi wa Blandina Nyoni bi. Estha Mambobadi amefariki Dunia katika hospital ya Aga khan jijini dar es salaam.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema peponi Amina.source RFA.
 
RIP BIBI, Na pole sana Blandina! kumpoteza mama mzazi ni huzuni kubwa sana!
 
Alipata stroke baada ya BP kupanda wiki iliyopita.
Alipelekwa Muhimbili kufanyiwa MRI na baadae kupelekwa ICU ya Aga Khan.
RIP.
 
Habari isiyo zisizorasmi zinadai madokta walivyogundua ni mama yake blandina wakamfanyia bibi mgomo binafsi.R.I.P Bibi yetu.
 
Alipata stroke baada ya BP kupanda wiki iliyopita.
Alipelekwa Muhimbili kufanyiwa MRI na baadae kupelekwa ICU ya Aga Khan.
RIP.
mm nilijua ww ndo unahabari utujuze na je hao madaktari waliogoma hawana kinyongo nae kwani walidai madawa hayapo mahospitalini
 
nahisi mungu amekosea alitaka kumchukua yeye BLANDINA akawahi kuamka asbh maskini akamwacha israel na bibi akuna jinsi naamini soon atamfwata ingawa naamini bibi yuko kwa Mungu huyu mama na dhambi zake lazima aishie kwa jamaa
 
Back
Top Bottom