Nakumbuka nilipanga nyumba na dada mmoja akiishi kwao, mtumishi wa serikali, alinisimilia changamoto zake za mapenzi kwamba zaidi ya miezi 8 hajasex, kila akiwa na mtu wakijipanga tu siku hiyo jamaa anapotea. Alisema alilogwa na Shangazi yake kwa kuiba chupi na kukipeleka kwa mganga. Mie nilikaza tu. Sasa siku moja nimetoka usiku kukojoa nje chooni, dada naye akafungua mlango wake kuja kukojoa na kuniomba nimsubiri hadi naye akojoe, kituko yaani alipandisha nguo yote juu huku hajavaa chupi, loh! Nikasubiri atoke nikiwa mlangoji pangu, alivyokaribia kwangu nilifunga mlango pasta kumkwepa lkn kitu tayari kilienda winga, nilijinyima tu yaani. Hii ikawa mara nyingi hadi akasema wazi tuzimuane, nilikataa. Ila nilikuwa mwamba sana kuikwepa ile mitego ya yule dada. Kwa sasa zaidi ya miaka 25 imepita, twaheshimiana na yule mama kwa sasa.