Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,870
- 5,575
Ada ni tiketi yake ya kuondoka
Binti ni nani hapo,mama au mtoto?maana sijui jinsia ya mtoto hadi wakat huu.msomeshe kwa faida ya mwanao, we ni binadam waweza patwa na majanga (kufa) ukashindwa somesha mwanao ila mama yake ukimuandaa atamsomesha huyo binti.
Duh. .Kabla ya yote nikukumbush kuwa asilimia kubwa ya wanawake wanaosomeshwa na wapenz wao huwa wakimaliz masomo na mahusiano hufa,ivyo jiandae kwa yote
Msomeshe kama Mzazi wa mtoto wako, sio kama mke wako. Kama uwezo upo lakini.
Kumbuka huyo ni Mama wa mwanao, haitakaa ibadilike. Popote atakapoenda na hali yeyote atalayokuwa nayo, anabaki kuwa mama wa mwanao.
Pia hatujui kesho zetu zitakuaje, kati yenu nani atatangulia mbele ya haki. Utamuacha mtoto kwenye hali gani?
Hili sio lazima ujibu, sema ukweli, mkikutana si mnapasha? Usicheze na kuishi miaka minne na mtu.
acha mawazo mgando wewe nani kakwambia kusoma ndio kushika pesamsomeshe kwa faida ya mwanao, we ni binadam waweza patwa na majanga (kufa) ukashindwa somesha mwanao ila mama yake ukimuandaa atamsomesha huyo binti.
amwamini naniiii? mwanamke au kiumbe kingine?, acha kumdanganyaWewe msomeshe kwa faida yake na mtoto, halafu mbona kama hujiamini Mkuu!!! Amekupenda, kaishi na wewe muda wote huo pamoja na changamoto lakini bado humuamini. Sasa kilichowaunganisha ni upendo sio dini, misimamo yenu yatosha. Muonyeshe na wewe kuwa unampenda na kumuamini
Hawa jamaa huwa wanadharau sana.Kwa hiyo mkuu unamaanisha jamaa ni haramu kwa huyo mwanamke?then mbona basi asirudi kwa babake kuendelea na maisha yake!
Hii ndiyo point ya msingi, huwezi jua ya mbeleni anaweza kwama kimaisha au akatangulia lakini kama amemjengea mama msingi bora basi hata mwanae atakuwa katika mikono salamaMlipie mkuu hata akiondoka ni mama wa mtoto hawezi kuja kumtupa mwanae mtasaidiana kwenye malezi
Hili nalo halina uhakika 100% pia mkuu!
Basi aende kwanza kwa mkemia kuondoa shaka.
Inaonyesha wanamawasiliano mazuri tu isipokua suala la ndoa. Jamaa anataka amsomeshe kama mke mtarajiwa kitu ambacho hakiwezekani.
Mimi ni mhanga wa hili jambo. Nilisomesha na naendelea kuwahudumia japo nimeoa na wife anasisitiza kutokuwasahau. Ilikua ni mambo hayohayo ya dini.