Mama wa mtoto wangu anataka nimsomeshe

Mama wa mtoto wangu anataka nimsomeshe

Msaidie tu.kwani kuna leo na kesho.unaweza ukawa haupo siku ya siku.elimu utakayo msaiodia itamsaidia mtoto
 
Msomeshe tu maana atamsaidia mwanae mbeleni
 
kama unampenda mpe mimba atulie hapo nyumbani
lasivyo utakuja kulia na kusaga meno
Kumpa mimba siyo suruhisho la kwamba ndiyo huyo mwanamke hata mwacha na kwenda kwa wa imani yake .
Suala hapo ni upendo wa kweli kwa mwanamke huyo hamna, kwamba hata mwanaume ukilazimisha mimba hata 4 ni kazi bure , tena sana.
Huyo mwanamke hana mapenzi ya kweli hapo alipo anamtumia tu huyo Kaka , mwisho wa siku atataka nyumba , na elimu atakuwa anayo kumsaidia mwanaume mwingine.
 
Km sasa hivi mazingira ni hayo usithubutu kulipa ada hakika utakuwa umetoa msaada tu na hatorudi kwako bali atawafuata wazazi cos inaonesha tayaru wazazi wameandaa mtu wao na binti hataki umsome kwamba anataka muachane katumia gia ya kusoma tena kwao ili baadae aje aseme niliona niwatii wazazi nisijepata laana.
 
Slimu wewe ili mfunge ndoa na kuepusha mwenzio kuishi na haramu ndani
Elewa swali kwanza Comrade.

Kwanini hakuna contact nzuri Kati ya vidole vyako na ubongo wako?.

Hakuomba huu ushauri unaojaribu kumpa. Pia unaposema (kuepusha kuishi na haramu ndani) fasili yake Ni nini?. Ufafanuzi tafadhali..

#be wise with your comment (s).
 
Msomeshe na umuoe kabla hajamaliza hayo Masomo..,
 
Elewa swali kwanza Comrade.

Kwanini hakuna contact nzuri Kati ya vidole vyako na ubongo wako?.

Hakuomba huu ushauri unaojaribu kumpa. Pia unaposema (kuepusha kuishi na haramu ndani) fasili yake Ni nini?. Ufafanuzi tafadhali..

#be wise with your comment (s).
wewe ndo umeonesha zero coordination kati ya ubongo na mikono yako! wee wa wapi kwanza mbona ka ghost?
 
sio lazima abadili ke hata yeye anaweza badili lamsingi upendo ndio utaompeleka shule na sio imani, kama unawaz kukukimbia utapata hasara gani kama nyumba atakuachia, atabeba na ghorofa lake. wanaume wa mikoani aisee hawajuwi hata mahaba.
Mikoani tena! mi mtoto town.
 
msomeshe kwa faida ya mwanao, we ni binadam waweza patwa na majanga (kufa) ukashindwa somesha mwanao ila mama yake ukimuandaa atamsomesha huyo binti.
Mkuu umejuaje kama mtoto wake ni wa kike?



#naenda_zimbabwe
 
Back
Top Bottom