Mama wa Ki Hehe alimpomtega mzungu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama wa Ki Hehe alimpomtega mzungu!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mzizi wa Mbuyu, Mar 15, 2012.

 1. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  Siku moja mzungu mmoja mmisionari alikuwa anatembea kwa mguu kutoka shambani kwake kwenda nyumbani kwake katika moja ya vijiji vilivyoko Mkoani Iringa (kwa watani zangu wahehe).

  Sasa alipokuwa anapita chini ya mti wa muembe akatazama juu yake akamwona mtoto mmoja wa kike kapanda anaangua maembe....mmisionari akashtuka kuona mtoto yule hajavaa chupi! akasema "wee ntoto hebu shuka bana usipande mti ukiwa huja vaa chupi shuuka bana ntoto nzuriii ee" ..yule mtoto akashuka.
  Mzungu yule akatoa shilingi elfu tano na kumpa yule mtoto...akamwambia "neda kanunue chupi"......

  Mtoto akaenda nyumbani, akamwambia mama yake kisa kizima....mama akapiga hesabu zake weee! naona akapata jibu....

  Kesho yake nayeye mama yule akamvizia mzungu anakuja kwambaali akavua nguo yake ya ndani...na kwenda kupanda mti akiwa hana nguo ya ndani ....
  Basi yule mzungu alipopita chini ya ule mti, akaangalia juu akashtuka kumwona yule mama bila nguo ya ndani, akasema mama nanihii shuka bana shuka na bhebhe unakubha kama ntoto ndogo shuka bhana...."

  Yule mama akashuka, Mzungu akatoa shilingi miambili na kumpa yule mama...akamwambia "nenda kanunue wembe".......!
   
 2. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha,nzuri sante sana.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  ahahahaaaaaaaa
   
 4. O

  Osward raphael Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daaa! Inachekesha
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Owkaay
   
 6. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Umekopy na kupest, ilishawahi kutoka humu JF.
   
 7. M

  Malolella JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ha haaa hapo kutakuwa na bonge la msitu.
   
 8. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  Kamanda hii nimeipata kwenye kilabu cha Ulanzi Ilula!
  Usidhani JF ndiyo source of information pekee.....si unaona wengine ndo wanaiona mara ya kwanza!
   
 9. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sio mbaya hata mi naiona kwa mara ya kwanza, alafu JF wageni wengi
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Duuu hii kali
   
 11. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  lol........mzungu kichaa.
   
 12. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dah! Ebwana hee hi kali asante sana mkuu mana sina mbavu!
   
 13. L

  Leonardmwanja JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Heheheheheheheehehehehehehe!!!!!
   
 14. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Sipati picha jinsi steel wire ilivyokuwa imefunika chombo chake.
   
 15. k

  kebi Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hv inakuaje mtu anatoa kichekesho mtu anadai copy & paste kwani kuna ubaya wengine tunakuwa hatujawahi kisikia km ww wakijua potezea ebo
   
 16. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alikuwa na msitu wa pande!
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh teh
   
 18. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kdddk!
   
 19. M

  M2ru Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haika mndumioko!
   
 20. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sio mbaya sijawahi kuiona

  kudadadeki leo nimecheka kichizi yaani.
   
Loading...