Kwa yule ambae umewahi kulelewa na mama wa kambo je, ile dhana ya mama wa kambo si mama ni sahihi, je ni kweli kwamba mama wa kambo ni katili, nini hupelekea mama wa kambo kuwa wakatili kwa watoto wa sio wao kwa wewe uliyelelewa na mama wa kambo ulionaje malezi yake?