Mama Tibaijuka, Flora Mbasha &Co.-Mtashinda tu!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,443
8,953
Pamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!

Kama ilivyokuwa kwa Mwanamuziki Flora Mbasha ambapo watu walimshambulia bila hata kujua ukweli, Jamii nzima ikageuka kuwa hakimu na kumhukumu mama Mbasha na kumkingia kifua Mumewe, walimlaumu mama Mbasha kwa kila baya lililoikumba ndoa yao!

Sijasikia Jaji Werema, Chenge,waziri Muhongo au hata Raisi Kikwete mwenyewe wakishambuliwa kwa kiasi ambacho mama Tibaijuka amekuwa akishambuliwa! Hii ndiyo sababu inayonifanya niamini anashambuliwa kwa kuwa ni Mwanamke!
Hakuna jamii Dunia Hii inayodharau Mwanamke kama hii yetu, na iko kila mahali nchini mwetu!

Najua Mama Tibaijuka analijua hili na ametoka mbali, amepitia na kuyashinda mengi hata hili nalo pia atalishinda!
 
Kwa ujumla tuhuma dhidi ya mawaziri wote na siyo Tibaijuka tu, hazina mashiko ni visasi tu na chuki binafsi pengine na wivu wa kijinga.
 
Tibaijuka hajashambuliwa ila anajishambulia mwenyewe kati ya hao uliowataja yupo yeyote aliyewahi kuita press na kuongelea suala hilo au kutumia mitandao kutaka kujisafisha? Tibaijuka na Prof Muongo ndio wanaoshambuliwa na ni kwa kuwa tu kila siku habari za wao kutaka kujisafisha ndio zinajaa kwenye media mbalimbali
 
WENGINE wakishambuliwa husema wanashambuliwa kwa sababu ya dini zao.
kabila zao-OLE NAIKO
Mikoa yao-Mwepesi si KABWE

NALAANI KUSHAMBULIWA KWA TIBAIJUKA si kwa kuwa ni mwanamke bali ni kwa kosa gani hasa alilolitenda
kama kupiga dili nani ccm hapigi dili?
kama kiburi na lugha ya dharau kwa umma nani serikalini asiye na hicho kiburi???
KATIBU MKUU KINANA anatuhuma ya ujangili na meli kubeba meno ya tembo mbona hasemwi??

TUNAMSHAMBULIA TIBAIJUKA KWA KUWA TULIDHANIA KUKAA UMOJA WA MATAIFA amestaarabika kumbe mwizi haachi asili yake
 
Naona tunaanza kupotosha mada hii, kwa ujumla hakuna sababu zote za msingi zinazotolewa za kuwang'oa mawaziri hawa.
 
Under secretary General wa UN hajui miiko ya uongozi? kwa sheria ya US, zawasi ya cash zaidi ya $ 100 kwa government employee inatiliwa shaka kama rushwa. sasa hiki kibibi kinapokea $1m kutoka kwa mfanyabiashara dubious kama Lugemarila kinasema zawadi? huyu bibi ana hurka ya wizi na ndiyo maana Mdee aliimmudu sawa sawa kwenye ardhi. Halafu proffessor mzima na bibi mzeee anakuwa mwaizi wa mali za wajukuu wake, wakati amesomeshwa bure na nchi hii aje asaidie jamii yake, ndo kwanza anakuwa mwizi na mlafi kama kina Sofia Simba wasiojielew hataa! wanawake tz wametuangusha sana. labda tusubiri wa upinzani lakini hawa kina Mongela no, no! na kama huamini Tibaijuka pesa hizo atazila akiwa na kesi na ataishi m aisha ya kudharauliwa mno licha ya kubahatika kuwa Boss wa Un
 
Tibaijuka hajashambuliwa ila anajishambulia mwenyewe kati ya hao uliowataja yupo yeyote aliyewahi kuita press na kuongelea suala hilo au kutumia mitandao kutaka kujisafisha? Tibaijuka na Prof Muongo ndio wanaoshambuliwa na ni kwa kuwa tu kila siku habari za wao kutaka kujisafisha ndio zinajaa kwenye media mbalimbali
Kama kweli wewe siyo mnafiki, tupe kauli ya MUHONGO ya kutaka kujitetea zaidi ya ile ya BUNGENI ambayo kanuni zilikuwa zinamtaka kufanya hivyo.
 
ulieandika hii thread lazima utakua ni joyce kiria. kila ishu we huwa unaingiza mambo ya gender balance. hata sehemu ambazo hazistaili hata kwa macho ya kawaida
Joyce kiria ni Mwanaharakati siyo mtetezi wa wanawake asingeweza kumtetea TIBAIJUKA wa CCM hata kama anaonewa.
 
Under secretary General wa UN hajui miiko ya uongozi? kwa sheria ya US, zawasi ya cash zaidi ya $ 100 kwa government employee inatiliwa shaka kama rushwa. sasa hiki kibibi kinapokea $1m kutoka kwa mfanyabiashara dubious kama Lugemarila kinasema zawadi? huyu bibi ana hurka ya wizi na ndiyo maana Mdee aliimmudu sawa sawa kwenye ardhi. Halafu proffessor mzima na bibi mzeee anakuwa mwaizi wa mali za wajukuu wake, wakati amesomeshwa bure na nchi hii aje asaidie jamii yake, ndo kwanza anakuwa mwizi na mlafi kama kina Sofia Simba wasiojielew hataa! wanawake tz wametuangusha sana. labda tusubiri wa upinzani lakini hawa kina Mongela no, no! na kama huamini Tibaijuka pesa hizo atazila akiwa na kesi na ataishi m aisha ya kudharauliwa mno licha ya kubahatika kuwa Boss wa Un
Hiyo sheria ya cash ni kwa mtu binafsi, pesa ya mama alipewa kwa ajili ya shule.
 
Mleta mada usitake kupotosha watanzania,mama Tibaijuka kapokea pesa kama mtumishi wa umma(waziri wa ardhi) kutoaka kwa mfanyabiashara mkubwa ambapo ni kinyume na maadili,halaafu bado unaingiza mambo ya mfumo dume na jike aaaaah na kwa kujitetea bado anatumia pesa za umma kuitisha mkutano kujitetea kama mtoto mdogo!!!!!

Arudishe pesa za escrow na wenzie
Arudishe na pesa alizotumia kuitisha mkutana pale hotelini
 
Huyu mama anashambuliwa shauri ya kidodomo chake angetulia watu wasingeendelea lakini muwasho wake umemponza ns si vinginevyo
 
Pamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!

Kama ilivyokuwa kwa Mwanamuziki Flora Mbasha ambapo watu walimshambulia bila hata kujua ukweli, Jamii nzima ikageuka kuwa hakimu na kumhukumu mama Mbasha na kumkingia kifua Mumewe, walimlaumu mama Mbasha kwa kila baya lililoikumba ndoa yao!

Sijasikia Jaji Werema, Chenge,waziri Muhongo au hata Raisi Kikwete mwenyewe wakishambuliwa kwa kiasi ambacho mama Tibaijuka amekuwa akishambuliwa! Hii ndiyo sababu inayonifanya niamini anashambuliwa kwa kuwa ni Mwanamke!
Hakuna jamii Dunia Hii inayodharau Mwanamke kama hii yetu, na iko kila mahali nchini mwetu!

Najua Mama Tibaijuka analijua hili na ametoka mbali, amepitia na kuyashinda mengi hata hili nalo pia atalishinda!
Mama prof, mh,tulia sindano ikuingie vizuri, acha kujihami Sana!Longolongo nyingi mno, by the way umeshazilipia kodi?
 
Pamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!

Kama ilivyokuwa kwa Mwanamuziki Flora Mbasha ambapo watu walimshambulia bila hata kujua ukweli, Jamii nzima ikageuka kuwa hakimu na kumhukumu mama Mbasha na kumkingia kifua Mumewe, walimlaumu mama Mbasha kwa kila baya lililoikumba ndoa yao!

Sijasikia Jaji Werema, Chenge,waziri Muhongo au hata Raisi Kikwete mwenyewe wakishambuliwa kwa kiasi ambacho mama Tibaijuka amekuwa akishambuliwa! Hii ndiyo sababu inayonifanya niamini anashambuliwa kwa kuwa ni Mwanamke!
Hakuna jamii Dunia Hii inayodharau Mwanamke kama hii yetu, na iko kila mahali nchini mwetu!

Najua Mama Tibaijuka analijua hili na ametoka mbali, amepitia na kuyashinda mengi hata hili nalo pia atalishinda!
Kinachomponza huyo mama Tibaijuka ni kidomodomo chake na kimbelembele.
Waliopiga hela ya uhakika wala huwasikii wakiongea.
 
nasikia tabaijuka ndo aliwamilikisha ardhi ile waliposimika mitambo hao iptl
 
Under secretary General wa UN hajui miiko ya uongozi? kwa sheria ya US, zawasi ya cash zaidi ya $ 100 kwa government employee inatiliwa shaka kama rushwa. sasa hiki kibibi kinapokea $1m kutoka kwa mfanyabiashara dubious kama Lugemarila kinasema zawadi? huyu bibi ana hurka ya wizi na ndiyo maana Mdee aliimmudu sawa sawa kwenye ardhi. Halafu proffessor mzima na bibi mzeee anakuwa mwaizi wa mali za wajukuu wake, wakati amesomeshwa bure na nchi hii aje asaidie jamii yake, ndo kwanza anakuwa mwizi na mlafi kama kina Sofia Simba wasiojielew hataa! wanawake tz wametuangusha sana. labda tusubiri wa upinzani lakini hawa kina Mongela no, no! na kama huamini Tibaijuka pesa hizo atazila akiwa na kesi na ataishi m aisha ya kudharauliwa mno licha ya kubahatika kuwa Boss wa Un

Ahsante
 
tatizo ni moja. wakati wengine wameuchuna wanakula bata, yeye kila siku na vyombo vya hbr kujisafisha mara bodi ya shule mara wana jf n.k hii ndo sababu kila mtu anamwelekezea mashamnulizi.

wazee wa mara wameibuka na kumtetea ndugu yao muongo lkn badala ya kusikilizwa ndo wameshambuliwa zaidi
 
Pamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!

Kama ilivyokuwa kwa Mwanamuziki Flora Mbasha ambapo watu walimshambulia bila hata kujua ukweli, Jamii nzima ikageuka kuwa hakimu na kumhukumu mama Mbasha na kumkingia kifua Mumewe, walimlaumu mama Mbasha kwa kila baya lililoikumba ndoa yao!

Sijasikia Jaji Werema, Chenge,waziri Muhongo au hata Raisi Kikwete mwenyewe wakishambuliwa kwa kiasi ambacho mama Tibaijuka amekuwa akishambuliwa! Hii ndiyo sababu inayonifanya niamini anashambuliwa kwa kuwa ni Mwanamke!
Hakuna jamii Dunia Hii inayodharau Mwanamke kama hii yetu, na iko kila mahali nchini mwetu!

Najua Mama Tibaijuka analijua hili na ametoka mbali, amepitia na kuyashinda mengi hata hili nalo pia atalishinda!

Ndugu yangu nimekupata na kukuelewa vyema unalolisema inawezekana kweli au si kweli. Tatizo nililoliona kwa mama Tibaijuka anasema sana yeye akifikiri ndio kujitetea lakini ndio anazusha sana mjadala kwake. mfano Prof Mhongo, Warema na wengine usikii wakisemasema. na siku zote maneno ya kiwa mengi lazima kunamahali utateleza tu. hivyo kukaa kimya ni busara pia
 
Back
Top Bottom