Naona tunaanza kupotosha mada hii, kwa ujumla hakuna sababu zote za msingi zinazotolewa za kuwang'oa mawaziri hawa.
sababu za msing unazozitaka wewe ni kama zipi?

Pamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!
Kama ilivyokuwa kwa Mwanamuziki Flora Mbasha ambapo watu walimshambulia bila hata kujua ukweli, Jamii nzima ikageuka kuwa hakimu na kumhukumu mama Mbasha na kumkingia kifua Mumewe, walimlaumu mama Mbasha kwa kila baya lililoikumba ndoa yao!
Sijasikia Jaji Werema, Chenge,waziri Muhongo au hata Raisi Kikwete mwenyewe wakishambuliwa kwa kiasi ambacho mama Tibaijuka amekuwa akishambuliwa! Hii ndiyo sababu inayonifanya niamini anashambuliwa kwa kuwa ni Mwanamke!
Hakuna jamii Dunia Hii inayodharau Mwanamke kama hii yetu, na iko kila mahali nchini mwetu!
Najua Mama Tibaijuka analijua hili na ametoka mbali, amepitia na kuyashinda mengi hata hili nalo pia atalishinda!

Mama prof, mh,tulia sindano ikuingie vizuri, acha kujihami Sana!Longolongo nyingi mno, by the way umeshazilipia kodi?
nina wasi wasi na uwezo wako wakufikiri... hakuna mfumo jike wala dume linapokuja suala la wizi...ESCROW ni kashfa na kawaida kashfa haipingwi kosa alilofanya mama ni kujaribu kuipinga kashfa WATU LAZIMA WAONGEE NA WATAENDELEA KUONGEAPamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!
Kama ilivyokuwa kwa Mwanamuziki Flora Mbasha ambapo watu walimshambulia bila hata kujua ukweli, Jamii nzima ikageuka kuwa hakimu na kumhukumu mama Mbasha na kumkingia kifua Mumewe, walimlaumu mama Mbasha kwa kila baya lililoikumba ndoa yao!
Sijasikia Jaji Werema, Chenge,waziri Muhongo au hata Raisi Kikwete mwenyewe wakishambuliwa kwa kiasi ambacho mama Tibaijuka amekuwa akishambuliwa! Hii ndiyo sababu inayonifanya niamini anashambuliwa kwa kuwa ni Mwanamke!
Hakuna jamii Dunia Hii inayodharau Mwanamke kama hii yetu, na iko kila mahali nchini mwetu!
Najua Mama Tibaijuka analijua hili na ametoka mbali, amepitia na kuyashinda mengi hata hili nalo pia atalishinda!
sababu za msing unazozitaka wewe ni kama zipi?
nasikia tabaijuka ndo aliwamilikisha ardhi ile waliposimika mitambo hao iptl
nina wasi wasi na uwezo wako wakufikiri... hakuna mfumo jike wala dume linapokuja suala la wizi...ESCROW ni kashfa na kawaida kashfa haipingwi kosa alilofanya mama ni kujaribu kuipinga kashfa WATU LAZIMA WAONGEE NA WATAENDELEA KUONGEA
We taahira kabisa. Iptl inikuja nchini mwishoni mwa miaka ya 90 na Tiba kawa waziri 2010. Kuna uhusiano gani? Mmiliki wa ile ardhi ya Tegeta ni Rugemalira aliyekua mbia wa iptl... msipende kuandika kwa mihemko bila data.

mfano huyu mama ameshiriki vipi katika ishu hii ya esrow
alitumia madaraka yake kuwapa kiwanja sehemu iptl walipoweka mitambo yao! una lingine?
sasa kumbe tibaijuka anahusikaje?ama ndo ameidhinisha pesa itoke?
kumbe hata wewe unafuata mkumbo?mi nilijua uko bright sana kufuatana na ulivojiita
sasa kumbe tibaijuka anahusikaje?ama ndo ameidhinisha pesa itoke?
yeah aliwapa watu mwanya wa kumjadili zaidi mbana Ngeleja kakaa kimya anasubiri hatima yake kuna mtu kampigia makelele humu?so kosa la tibaijuka ni kuipinga kshifa ya escrow?,mbona kama haingii akilini,