Mama Tibaijuka anatafutwa

Mama Tibaijuka anatafutwa

Siasa imejaa wanafiki na unafiki.

Ni vigumu kuunganisha mapokezi na shangwe kubwa iliyotolewa na wananchi kwa Rais akiwa ziarani Muleba, na mbele ya Wabunge wote wa Muleba kama wenyeji wake na malalamiko haya yaliyotolewa taarifa redioni. Ama Rais alipokewa na wenyeji wasio wenyeji au malalamiko haya kama kweli yapo basi yametoka kwa wenyeji ambao hawakuwepo wakati wa ziara ya Rais.

Siasa za Kagera ni pasua kichwa!

Thread yenyewe inasema watu wa vijini wanalalamikia kwa kuto enda kuwatembelea tangu wamchague. Hivyo mnatakiwa kujua kuwa kama ni mleba mjini mama anaenda ila vijini haendi na huko ndio chanzo cha malalamiko. Mwaka huuu ccm watasema yote mabaya walio tufanyia watanzania ili ikifika 2014&2015 nikukabidhi nchi kwa makamanda.
 
hawa watu nilowaskia jana on east afrika redio wao ni wale wanaoish vijijin,ina maana mama huishi mjini,na wanasema tangu wamchague HAJAWATEMBELEA TENA WALITAJA NA MAJINA YAO,
 
Thread yenyewe inasema watu wa vijini wanalalamikia kwa kuto enda kuwatembelea tangu wamchague. Hivyo mnatakiwa kujua kuwa kama ni mleba mjini mama anaenda ila vijini haendi na huko ndio chanzo cha malalamiko. Mwaka huuu ccm watasema yote mabaya walio tufanyia watanzania ili ikifika 2014&2015 nikukabidhi nchi kwa makamanda.

kweli mdau,me nilipokua nawasikiliza wale walikua ni wakaz wa vijijin,kwa bahat mbaya sikukariri majina ya vijiji ila waliyataja,na walisema dar anafanya nini????huku ndo nyumbani aje atusikilize,
 
Kwanza MULEBA ata bus stand tu HAKUNA yani nia AIBU kwa mji ule kua na mbunge mtaalamu wa mipango miji lakini ata bus stand tu ya kisasa hakuna....Ata juzi TIBAIJUKA umeshindwa kumlilia mzee wa Ahadi JK na Magufuri wakujengee Bus Stand km za Mwanza? nadhani movement for change kamata mwenge na mkawashe uko ambako Tibaijuka hajawahi fika! Ata Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna Muleba!
Bus stand hakuna Muleba!
Tibaijuka km jina lako lilivo huoni AIBU loh Stand

nadhan kuna haja ya kuachana na uwaziri unapokua mbunge,sasa angemuulizaje jk angemwambia jk na magufuli kama mbunge au waziri????,
 
hata zito kabwe anaishi tabata sio kule kwao mwandiga kwenye vumbi la mihogo, wote wapo dar, si cdm wala ccm,may wa atwn
 
Mkoroshokigoli, acha kutuletea upuuzi hapa janvini! mama Tibaijuka hajaonekana kwa wapiga kura wake wakati wakati siku si nyingi katuletea taarifa kamili kuwa alipewa ndege ya Rais kwenda kuwaona wagonjwa katika hospitali zote lukuki na kupeleka madawa??
Please, be serious! huyu mama ni jembe na hashikiki.
 
Watu wa Muleba ni wanafiki sana. Wanamtafuta vipi Mbunge wao wakati juzi juzi tu alikuwa Muleba na Jakaya Kikwete hadi Jakaya Kikwete akalala kwake. Wanaboa sana watu wa Muleba

Nyumbani kwa Anna pamekuwa ikulu ndogo tena?!
 
Mkoroshokigoli, acha kutuletea upuuzi hapa janvini! mama Tibaijuka hajaonekana kwa wapiga kura wake wakati wakati siku si nyingi katuletea taarifa kamili kuwa alipewa ndege ya Rais kwenda kuwaona wagonjwa katika hospitali zote lukuki na kupeleka madawa??
Please, be serious! huyu mama ni jembe na hashikiki.

shekh Ramadhan Ally kwanza eid mubaraka,nimeeleza vizuri tu kwenye uzi,ni kwamba wanaolalamika ni wakaz wa vijijini,pia hii ishu nimeiskia east africa na nimeileta kama nilivoskia,ila hata upuuzi nao una tija labda hukua unajua
 
Last edited by a moderator:
hata zito kabwe anaishi tabata sio kule kwao mwandiga kwenye vumbi la mihogo, wote wapo dar, si cdm wala ccm,may wa atwn

usifanye kosa kwakua mwenzio anafanya makosa,hizo akili za panya
 
Ndugu wan Jf.nawasalimu nyote.Kwa kuchangia tu kwenye maada hii,mm binafsi ningeomba mtoa maada alipoleta maada angeikamilisha vizuri kwa kubainisha ni zahanati zipi na vijiji gani vinavyomtafuta mh.prof.tibaijuka.Kwanza kasema Mama Tibaijuka anatafutwa jimboni,kule vijijini Muleba,angebainisha vijiji vile kwa majina ni vijiji gani M.T.hajawahai kuvitembelea.Kwa faida ya wengi Takwimu zinaonyesha kuwa Wilaya ya Muleba inavyo vijiji 167,ambapo kwa jimbo la Muleba Kusini,onavyo vojiji 112,kati ya 167.Ni Ukweli usiopingika kuwa M.T.amekuwa akifanya mikutano kwenye Kata yaan Makao makuu ya kata zote 25.za Jimbo zima.Ukweli wenyewe sio rahisi kuvifikia vijiji vyote kwan hata wakati wa kampeni mikitano ya Wabunge hufanyika Makao makuu ya kata. Pili Ndugu yangu mleta maada,anaposema zahanati hazina madawa,ingekuwa vema akabainisha pia ni zahanati zipi kwa majina.Ninavyojua wakati Mh.Prof.Tibajuka,amekuja,11.june.2013,kwa Ndege ya Serikali,alitembelea hospitali zote za Wilaya ya Muleba pamoja na zahanati lakini tatizo la madawa halikusikika kwa wananchi.Hospitali zilizotembelewa ni pamoja na Hosp.Teule ya Wilaya (Rubya hospital),Kagondo hispitalna Ndolage Hospital.Kwa upande wa zahanati,alifika Kaigara iliyopo Muleba Mjini,Kimeya Tarafa ya Kimwani,Rwantege tarafa ya Nshamba.Wagonjwa wenyewe ndio walikuwa shahidi kwa vinywa vyao kuwa Madawa yalikuwepo ya kutosha. Kama hiyo haitoshi,ni Juzi Mh.T.wakati wa Ziara ya Raisi alitembelea wananchi wa Rulanda ambao wanajenga zahanat na Mh.Raisi akawachangia Milion.3,akawambia kuwa atampa Mbunge wenu azilete.Hivyohivyo Kasindaga kata ya Kyebitembe wanajenga Zahanati,Raisi alichangia Mil.2.Habari njema zaidi Kasindaga Halmashauri wanaendelea na ujenzi wa zahanati ile kwa 26.Milioni.Kote huko hakuna mahali walilia madawa.Ndo nasema hivi huyu mleta maada ingekuwa vema akabainisha ni vijiji gani na zahanati gani walipolalamikia upungufu wa madawa?,Nasema hivyo Mh.Tibaijuka ametoka Muleba Jimboni na Mh.Raisi hilo tatizo hakuna mahali lilipotajwa.Ni vema mtandao huu ukatumika kusema ukweli,kwani itaweza kuisaidia kufuatilia na kutafuta ufumbuzi wa tatizo kama habari ni ya kweli.Lakini ieleweke pia hata kusema Uongo ni ufisadi. * Kwa nyongeza pale Kata ya Biirabo,kuna mradi wa ujenzi wa Zahanati chini ya Halmashauri ambapo Mh.Tibaijuka alichangia bati zote,lakini Halmashauri wakaamua kumalizia kila kitu,mpaka sasa imeishaezkwa.Kule Buhangaza hivyohivyo. * kuhusu hoja ya bus stand hii imejengwa tangu 2003,kutoka eneo ilipokua zamani.mpaka sasa standi hii ipo na imekamilika mabasi makubwa na madogo yanatua,pale bila tatizo,huduma za msingi zipo zote maduka ya uhakika na vyoo vya uhakika vimejengwa pale.kwa kufanya ulinganisho na standi zote zilizo katika mkoa wa kagera wala huwezi amini hoja yako,mtoa maada. * kitu muhimu kinachopaswa kueleweka kwa watu wote na hasa wale wanaopost news,kwenye mtandao wetu mtukufu,tujaribu kuheshimu usomi wetu,ambapo kusema ukweli ni zaidi ya yote. Mwisho ningeomba kama inawezekana tunapokuwa na thread nzuri na zenye uhakika basi tujitahidi kuzitoa kwa kuweka wazi majina yetu wazi na sio yale ya bandia,na niombe samahani kwa punctuation kwani niko vijijin na natumia blackbery,mniwie radhu kwa hilo. Denis, ktb/m.tibaijuka muleba.
 
Kwangu hii ni fursa ngoja nijipange kulichukua jimbo 2015.
 
denis charles me nakushauri pita east afrika redio muulize zembwela au anna peter(kama sikosei) kuna segment ya wazo la KABWELA,kwakua walirekod omba clip ya audio,maana nami niliskiliza na kama nilivyosema kwenye baadhi ya comment sikumbuk vijiji ila WALIVITAJA,sasa nakushauri tu wewe nenda(maana inaonesha una data za Muleba) wao watakusaidia,nakukumbusha kipindi ni cha SUPER MIX,SEGMENT YA WAZO LA KABWELA
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wan Jf.nawasalimu nyote.Kwa kuchangia tu kwenye maada hii,mm binafsi ningeomba mtoa maada alipoleta maada angeikamilisha vizuri kwa kubainisha ni zahanati zipi na vijiji gani vinavyomtafuta mh.prof.tibaijuka.Kwanza kasema Mama Tibaijuka anatafutwa jimboni,kule vijijini Muleba,angebainisha vijiji vile kwa majina ni vijiji gani M.T.hajawahai kuvitembelea.Kwa faida ya wengi Takwimu zinaonyesha kuwa Wilaya ya Muleba inavyo vijiji 167,ambapo kwa jimbo la Muleba Kusini,onavyo vojiji 112,kati ya 167.Ni Ukweli usiopingika kuwa M.T.amekuwa akifanya mikutano kwenye Kata yaan Makao makuu ya kata zote 25.za Jimbo zima.Ukweli wenyewe sio rahisi kuvifikia vijiji vyote kwan hata wakati wa kampeni mikitano ya Wabunge hufanyika Makao makuu ya kata. Pili Ndugu yangu mleta maada,anaposema zahanati hazina madawa,ingekuwa vema akabainisha pia ni zahanati zipi kwa majina.Ninavyojua wakati Mh.Prof.Tibajuka,amekuja,11.june.2013,kwa Ndege ya Serikali,alitembelea hospitali zote za Wilaya ya Muleba pamoja na zahanati lakini tatizo la madawa halikusikika kwa wananchi.Hospitali zilizotembelewa ni pamoja na Hosp.Teule ya Wilaya (Rubya hospital),Kagondo hispitalna Ndolage Hospital.Kwa upande wa zahanati,alifika Kaigara iliyopo Muleba Mjini,Kimeya Tarafa ya Kimwani,Rwantege tarafa ya Nshamba.Wagonjwa wenyewe ndio walikuwa shahidi kwa vinywa vyao kuwa Madawa yalikuwepo ya kutosha. Kama hiyo haitoshi,ni Juzi Mh.T.wakati wa Ziara ya Raisi alitembelea wananchi wa Rulanda ambao wanajenga zahanat na Mh.Raisi akawachangia Milion.3,akawambia kuwa atampa Mbunge wenu azilete.Hivyohivyo Kasindaga kata ya Kyebitembe wanajenga Zahanati,Raisi alichangia Mil.2.Habari njema zaidi Kasindaga Halmashauri wanaendelea na ujenzi wa zahanati ile kwa 26.Milioni.Kote huko hakuna mahali walilia madawa.Ndo nasema hivi huyu mleta maada ingekuwa vema akabainisha ni vijiji gani na zahanati gani walipolalamikia upungufu wa madawa?,Nasema hivyo Mh.Tibaijuka ametoka Muleba Jimboni na Mh.Raisi hilo tatizo hakuna mahali lilipotajwa.Ni vema mtandao huu ukatumika kusema ukweli,kwani itaweza kuisaidia kufuatilia na kutafuta ufumbuzi wa tatizo kama habari ni ya kweli.Lakini ieleweke pia hata kusema Uongo ni ufisadi. * Kwa nyongeza pale Kata ya Biirabo,kuna mradi wa ujenzi wa Zahanati chini ya Halmashauri ambapo Mh.Tibaijuka alichangia bati zote,lakini Halmashauri wakaamua kumalizia kila kitu,mpaka sasa imeishaezkwa.Kule Buhangaza hivyohivyo. * kuhusu hoja ya bus stand hii imejengwa tangu 2003,kutoka eneo ilipokua zamani.mpaka sasa standi hii ipo na imekamilika mabasi makubwa na madogo yanatua,pale bila tatizo,huduma za msingi zipo zote maduka ya uhakika na vyoo vya uhakika vimejengwa pale.kwa kufanya ulinganisho na standi zote zilizo katika mkoa wa kagera wala huwezi amini hoja yako,mtoa maada. * kitu muhimu kinachopaswa kueleweka kwa watu wote na hasa wale wanaopost news,kwenye mtandao wetu mtukufu,tujaribu kuheshimu usomi wetu,ambapo kusema ukweli ni zaidi ya yote. Mwisho ningeomba kama inawezekana tunapokuwa na thread nzuri na zenye uhakika basi tujitahidi kuzitoa kwa kuweka wazi majina yetu wazi na sio yale ya bandia,na niombe samahani kwa punctuation kwani niko vijijin na natumia blackbery,mniwie radhu kwa hilo. Denis, ktb/m.tibaijuka muleba.

mdau hapo kwenye blue naona umekiri,
hapo kwenye red ni kwamba nenda east afrika redio wakupe rekodi,na hapo kwenye green usiusingizie mtandao,timizen wajibu wananchi wamelalamika,
 
Ndugu yangu sio raisi kujipanga kuchukua jimbo kwa kusema uongo.Ushauri jaribu kujipanga,vizuri kwa mikakati,kwan yule Mama sio Jembe tu bali ni Nyundo pia.Utashindwa mtihani hata kabla hujaanza.
 
Hayo maneno pia kwenye khanga yapo.
 
hakuna watu wanafiki kama wapiga kura wa muleba.
huyu mama mh. Tibaijuka,alikuwa huko kipindi cha bunge,na baada ya bunge tena niliona taarifa ya kuwepo,wakati wa jk kwenye ziara pamoja na siku ya mashujaa napo alikuwepo na jk inasemekana alilala hapo kwa tibaijuka!
inawezekana ndio wana jambo la msingi lakn wajue yule mama hawezi kukaa muleba kama wanavyotaka,huyu mama ni waziri ambaye anawatumikia wananchi wote na pia sio vyepesi kupita kila sehemu kila siku,ila mama nenda kawasikilize wapiga kura wako kuna tatizo kwenye eneo la afya ambapo naliona linahitaji utatuzoi wa haraka hasa kwa huduma za akina mama na watoto na kada zote!!!!
 
Kama unambua kuwa maneno haya yapo hata kwenye kanga ambazo huvaliwa na akina Mama ,jua kuwa yamesambaa sana Tanzania nzima na Muleba ikiwemo.Ni ushahidi tosha kuwa safari yako bado ni ndefu,lakin naona kama vile unakata tamaa.pole ndo ukweli wenyewe huo.
 
Kwanza MULEBA ata bus stand tu HAKUNA yani nia AIBU kwa mji ule kua na mbunge mtaalamu wa mipango miji lakini ata bus stand tu ya kisasa hakuna....Ata juzi TIBAIJUKA umeshindwa kumlilia mzee wa Ahadi JK na Magufuri wakujengee Bus Stand km za Mwanza? nadhani movement for change kamata mwenge na mkawashe uko ambako Tibaijuka hajawahi fika! Ata Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna Muleba!
Bus stand hakuna Muleba!
Tibaijuka km jina lako lilivo huoni AIBU loh Stand

Ndug Binary No,

mama Tibaijuka ni muadilifu kwa hiyo hatumtegemi kuhamisha miradi mikubwa ya majiji yenye watu wengi akaipeleka nyumbani kwake kwenye mji mdogo wa Muleba wa watu 10,000.
Tujifunze kuzungumza kwa tawimu. Sensa ya 2012 inatujulisha watu katika majiji yetu 5:
Dsm 4,364,541 Arusha 416,442 Mbeya 385,279 Mwanza 363,452 Tanga 273,332
Na isitoshe Katibu wa Mbunge Tibaijuka kaelezea, kumbe Bus stand ipo tena ya viwango?? Mtoa hoja hujawahi kufika Muleba au unatuletea fitina katika siku ya Eid??

Nawatakia Eid Mubarak.
 
Ndugu Msanii,Ujumbe wako tumeupata,lakini Mm niyaendika mpaka sasa nipo jimboni Muleba.Hata M.Tibaijuka ametoka huku,ni wiki moja imepita tu.Swala la Afya linajulikana na hivi majuzi,Mh.Tibaijuka amekamilisha mpango wa kuanzisha Bohari kuu ya kusambaza dawa kwa Mikoa ya Geita,na Kagera,ambyo itajengwa Muleba.MSD.Kanda ya ziwa wanataka kupanua wigo wa kusambaza madawa mpaka vijijin.17.july,2013,wamekagua eneo la Malahara ambapo kwa kuanzia watakuwa wanatumia Jengo la hospitali ya Wilaya,wakati wanaendelea na ujenzi wa majengo yao palepale malahara.Lengo kubwa ni harakati za kutatua kero mbalimbali katila sekta hii ya Afya.Kwahyo sio kweli kuwa watu hawajasikilizwa.Muhimu ndugu msanii utanielewa na sio kama mchangiaji mmoja ananiambia kuwa haya ni maneno ya kwenye Kanga,alafu eti anataka kuchukua jimbo.Je tutafika?
 
Back
Top Bottom