Mama Terri!

Makazi yake yalikuwa Kurasini, Dar es Salaam. Jameni majirani mlio humu tujuzeni huyu mama yuko wapi???? Au kapewa mtaji aende Nigeria???? Hakuna hata anayewasiliana naye jamani tujue alipo??? Nimemiss mafunzo yake kwa jamii. Pengine ana barua ya onyo na measures if act against, so kwa maisha yake akaamua kukaa kimya??? But I believe yuko mzima hajafa kama kina Horace Kolimba, Daudi Balali, Dr. Fupi, Amran Kombe, you name all!!!

Kazi ipo!!!!!
 
i think wengi wetu hapa ni vipi kuhusiana na zile harakati zake za ku fight ngoma?maana kimya kilikuja ghafla wakati moto wake ulikuwa mkubwa kinyama! ndo kusema hajali tena watanzania kama alivyokuwa akisema wakati ule?au aliposema ataibua mauchafu ya wale wala kula zetu ndo ikawa mwisho wa kampeni???duh i luv ma country
 
Back
Top Bottom