Mama Terri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Terri!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by bokassa, Dec 4, 2008.

 1. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi jamani, Mama terry, yule mama muelimishaji/Muhamasishaji wa kujikinga dhidi ya madhira ya gonjwa Ukimwi yu wapi?????

  Nimemkumbuka gafula!!!!!!!

  Mwenye taarifa tafadhali!!!!!
   
 2. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #2
  Dec 5, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ni kweli hata mimi nimewahi kuwauliza watu mara kadhaa lakini haieleweki.
  nakumbuka mara ya mwisho alitaka kujiingiza kwenye siasa wakamzimilia mbali ikawa ndiyo jiiiii!!!!!!!!!
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Sijui aliitwa Bungeni kuhojiwa akaambia ameenda kishangingi au alijipleka ,sikumbuki vizuri. Ila walimzimilia mbali na akapotea moja kwa moja.
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimemkumbuka activist mama Terry. Hivi yuko wapi jamani!!!??? Baada ya lile sokomoko la kufanyia research wabunge jinsi wanaruka na machangu wawapo bungeni basi aliitwa akaambiwa anahatarisha amani ya nchi!!!!! Yaani Tz kwa kuogopa kuhatariasha amani au kuyumbisha uchumi kama walivyo kwa fisadis wengine eti kuwakamata uchumi utayumba. Kasema nani!!!??? Yaani wanasiasa jamani moto wa kuotea mbali. Pengine walishamtafutia kisa cha urai. Hivi ameolewa na Ghemudu (sijui nimepatia spelling, sorry kama sijaandika jina sawa) au yeye ni Ghemudu proper maana hapo ataambiwa kwao ni Nigeria!!!! Tuhabarisheni kama yuko uhamishoni au amefichwa kama Tumtemeke Sanga tujue.
   
 5. Tonga

  Tonga Senior Member

  #5
  Dec 5, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania bwana, likija suala la kugusa interest na starehe za watu unaweza kuzimwa kama kibatari! Ni aibu kumpoteza activist kama Mama Terri alikuwa anaielimsha jamii kwa kiasi kikubwa sana. Tukumbuke kuwa jamii yetu haina utamaduni wa kuwaeleza watoto ukweli kuhusu maisha, mahusiano na mabadiliko ya kimwili. Watoto weng wanakua bila kujua lolote wanakuja kupata bahati ya kumsikia Mama Terri redioni ukubwani ndio wanafunguka macho.Kwa wenye bahati inawasaidia kwa wasio na bahati inakuwa 'too late to clean the mess'!
  Huwa najiuliza kila mara; hivi ni vitu gani jamii yetu inavipromote kwa manufaa ya jamii nzima? kwasababu kuna mambo mengi sana ya msingi aidha hayatiliwi maanani kabisa au yanauliwa kinyemela na kuiacha hii jamii katika giza nene hata katika zama hizi za UKIMWI ambazo kila mmoja (mdogo kwa mkubwa)anatakiwa kuwa makini na maisha yake.
  Hivi tutafika kweli? tuna safari ndefu sana TZ.
   
 6. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wengi hupitia hiyo milango na kutoka kabisa kimaisha nafikiri na hatima yake ni kufa kwa kipaji chake. Mfano. yule mwendeshaji wa kiti moto, etc. Lakini si vizuri wanabana haki ya kikatiba ya ku-suspect, kuchunguza na kuhoji. BUT thanks the era is coming to an end. Uwazi na ukweli ukimaanisha usiri na ukandamizaji ---is dead. Sasa ni kukandamiza kizenji na mambo ya mapouda!
   
 7. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,276
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  hehehe hiyo ndo tanzania yetu,uongee ukweli sawa but ukiongea ukweli against wenye nchi...wapotezwa
   
 8. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Umeshaamka? Maana hizo ni ndoto za daylight.
   
 9. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,276
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  wanted to ask him/her de same thing hiyo ndoto yake itaisha lini?
  vijimambo viendeleavyo sasa it seems vinadanganya wengiii wakati ni matangazo ya biashara tuu movie bado litaendelezwa kama kawa!
   
 10. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2008
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Walipaga jina JUISI YA PAPAI kutokana na masomo yake ya aina ya vyakula vya kujenga, kukinga na kuimarisha mwili
   
 11. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mama terry, kama unatusikia RUDI!!!!!! Sempasa hayupo tena bungeni!!!!!!!

  Si wote ni wapenzi wa FUTUHI/BONGO DARESALAMA/ZE COMMEDY. Twahitaji mawazo yatayoleta mapinduzi ya fikra!!!!!
   
 12. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Haha ni kweli alikwenda dodoma mapaja nje nje, kuwashutumu wabunge kwa ufuska. Haikuingia akilini mwa waheshimiwa kwa mtu anayekwenda kukataza kitu ambacho kivitendo anaonekana anahamasisha. Alidhani anaweza kuwachezea wabunge kama alivyocheza na minds za wasikilizaji wa Radio one. Mumewe ni M-Nigeria, mnaojua Nigeria mnaweza kuelewa what does this mean, inawezekana deal zao ziliwafikia wabunge na wakazitumia hizo hzio kumfunga mdomo. just thinking.
   
 13. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli naskia mama alikuwa mtu wa vivazi ila hoja yake dhidi ya ufuska wa wabunge wengi ndio iliyofanza wahishimiwa wamjie juu!!!! I believe ilikuwa janja ya wahishimiwa, kuonyesha kuwa mama T ndie mwenye matatizo.

  Wabunge hawa_maindi vimini???? Eboooooooooo!!!! Embu nenda club 84 uone wanavyosakata rhumba na vichangu wenye pensi bubu!!!!!! Kama huko mbali pitia Mwanga Bar; saturday au chako ni chako bar uone wanavyotolea mimacho machangu waliovalia nusu mkate!!!

  Ndio maana, siku ya kupima ukimwi kwa hiari, pale Dom mwaka 2005, wahishimiwa wengi waliingia mitini!!! Achana na hao jamaaaaaaaa!!!!!
   
 14. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dah kumbe mama aliwagusa waheshimiwa? Pole mama T, Nenda kwa step!
   
 15. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  du mzee umeua kweli, umepiga nyoka kwenye kichwa. NI kweli unayosema kwa sababu mama Teri aligusa moja kwa moja kwenye mshipa wa fahamu, ndio maana jamaa wakaja juu.
   
 16. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani ndio sababu ya kupotea kwa mama terry!!! maana baada ya kumuita dom, haikuchukua muda tukaskia jiiiii!!!!!!!!. pengine alikatishwa tamaa na reaction ya watunga sheria!!!!!!!!!!
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Makazi yake yalikuwa Kurasini, Dar es Salaam. Jameni majirani mlio humu tujuzeni huyu mama yuko wapi???? Au kapewa mtaji aende Nigeria???? Hakuna hata anayewasiliana naye jamani tujue alipo??? Nimemiss mafunzo yake kwa jamii. Pengine ana barua ya onyo na measures if act against, so kwa maisha yake akaamua kukaa kimya??? But I believe yuko mzima hajafa kama kina Horace Kolimba, Daudi Balali, Dr. Fupi, Amran Kombe, you name all!!!
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Aliingilia anga zao ikabidi wamtime kwa maana wake za wabunge walikuwa wanawagombeza waume zao hali kadhalika wabunge wanawake walikuwa wanagombezwa na wazee wao wakaamua kumtime naona walimwambia tutakwambia wewe sio raia basi mama wa watu amenyuti tu.Da bongo ukiingilia anga za watu hutoki.
   
 19. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  I really doubt kama kelele za hawa mabwana ndizo zimemzimisha. And I so much hope hawaja_mkolimba!

  Kitu kama mume wake alifarikri or smthing like that! ... get that to be checked out!!
   
 20. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mara ya mwisho kumsikia huyu mama ni kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni katika jimbo la Kigamboni 2005,kama sikosei alipata kura moja wakati Manji akiongoza kwa zaidi ya kura 400 kabla ya kuenguliwa na BMW.

  Inasemekana Mama alibwata kwa kusema kura hizo za maoni zina mizengwe,siyo huru na haki,na ikabidi ajadiliwe katika vikao vyao vya nidhamu chama cha kijani.Tokea hapo hasisikiki,ikawa rijamu kabisa ktk maisha yake.
   
Loading...