Duuh kwahiyo mkuu mnataka mtu afurahie tu kuletewa watoto wa nje kana kwamba ni sawa? Kuzaa nje ya ndoa ni dhambi either kwa mwanaume au mwanamke hilo halihusiani na ubeijing msitafute namna ya kuupamba huu uovu uonekane eti ni sawa!Watoto wa nje walikuwepo, na walikuwa wanaletwa nyumba kuu bila mnuno wa bi mkubwa, wanaishi vema tu
Sasa hivi vibeijing toka vianze kutumia neno la kizungu “ una cheat” imekuwa tabu tupu.
ila wenyewe kutubambikia mimba zisizo zetu hawajambo. Asante kwa DNA