Mama Siti hapa ni wapi Kweli?

Mama Siti hapa ni wapi Kweli?

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,550
Hii ni kauli ya aliyekuwa Rais wa Tz Mzee wa Ruksa a.k.a. baba Hussein. Alipokuwa akitoa neno la faraja msibani Chato.

Ushauri: Oeni wanawake wenye umri mdogo (mnaowazidi miaka) ili mpate wa kuwakumbusha.

Kina-Zari samahanini kwa hili.

Uzi tayari!
 
Uzi tayari [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahahah! Utaenjoy Sana endapo ukiwa umemzidi mpenz wako vitu vingi vya msingi. Kukuzid au ukiwa nae Sawa huleta ukakasi sometimes.
 
Hakika. Hiyo njia iliwapa raha sana wazee/ mababu zetu enzi hizo. Ila kizazi hiki cha wabeijing acha wakutane na michepuko yetu ikiwa na watoto msururu siku ya misiba yetu. Na ukizingakia sheria ilishafuta kitu “ mtoto haramu”
 
Oa mkubwa mufe pamoja....wadogo unatangulia wew tu yeye unamuacha wanamla wahuni nyuma unakomuacha
 
Hapa ni wapi mbona patamu hivi? Uko utamuni 😂😂😂😂😂😂
 
Kuna familia naifahamu, mzee kamzidi mkewe miaka kama 15 lakini mama ndiye kaingiwa na tatizo la usahaulifu wakati mzee yupo vizuri

Sent from my Nokia 5.4 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwenye hiko Kizazi cha zamani kisichokuwa na wabeijing hakukuwa na watoto wa nje
Watoto wa nje walikuwepo, na walikuwa wanaletwa nyumba kuu bila mnuno wa bi mkubwa, wanaishi vema tu
Sasa hivi vibeijing toka vianze kutumia neno la kizungu “ una cheat” imekuwa tabu tupu.

ila wenyewe kutubambikia mimba zisizo zetu hawajambo. Asante kwa DNA
 
Back
Top Bottom