Huko sahihi, ni wachache sana wenye akili timamu, kila mtu anachojua ni SAMAHANI, wakati alishaharibu.Hahahaha
Nusu ya Wakazi wa Jiji la Dar es salaam huwa machizi mchana kutokana na mihangaiko ya kutafuta rizki na adha ya usafiri
pole sana mleta thread
Ukiona unailazimisha sana riziki hadi unakaribia uchizi,ujuwe kabisa hiyo siyo haki yako bali unailazimisha!!Hahahaha
Nusu ya Wakazi wa Jiji la Dar es salaam huwa machizi mchana kutokana na mihangaiko ya kutafuta rizki na adha ya usafiri
pole sana mleta thread
Siyo Kazi nyepesi mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km mwanae anasoma Tanganyika International Schools je?.Ada ya pale milioni zaidi ya sabini kwa mwaka.Kwa hiyo usione mtu analialia Kuhusu ada ya mwanae ukadhani ni maskini,uliza Kwanza shule anayosoma huyo mwanae.
Basi sawaaaHiyo sio hoja,mbona Billgates anavaa jinsi mpauko Wakati ni tajiri mkubwa duniani?.
Kivipiiii??
Kwa kweliiiSiyo Kazi nyepesi mkuu..
Acha uongo bwana
Mtoto Yupi wa kulipiwa Ada?
Hajashindwa kulea.Anaomba mumewe arudi home.
Shida watu wanamchukulia poa yule mama ila ana hela sio kitotoView attachment 2628862
mtoto mwenyewe amesoma na mtoto wa kaja.a, hivyo sio shule ya kimaskini sana. wakati mwingine unaweza kuwa tajiri lakin pesa zako zote ziko kwenye biashara, sishangai hilo. sio kwamba ukiwa na duka kubwa basi unaweza kutumia hela ovyo.Mbona anaomba msaada clouds. Mpaka mtoto ameshindwa kwenda shule.
Ni balaaHizo damu za hayo makabila!!
Tz na umaarufu uchwara!
Huyo Mama Sinyali anayetrend ni mama mwenye hela za zake japo zimepungua kidogo. Ni rafiki mkubwa wa Davis Mosha pamoja na mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya nne.
Narudia tena huyo mama ni alikuwa na hela sasa hivi zimeshuka kidogo halafu ni mafia, mtoto wa mjini hasa, siwezi kuandika mengi ila Sinyali ni Sinyali kweli hana shida ndogo ndogo.
Siju majumba, magari ya kifahari, huyo kushika milion 300, sijui millioni 600 kwake kawaida tu mbona, nyie endeleni kumwona meme ni li boss hilo jitu.
Kuna kipindi alitukana CCM wadau niishie hapa...akajifanya hawajui, walimshona vizuri akapendeza[emoji1][emoji1][emoji1]hana hamu na siasa hadi leo.
Siwezi kuweka full nondo hapa kwa sababu ya heshima ya Sinyali, pia boss wangu Davis Mosha nawakubali.
Sinyali tajiri born town watu wanamuona meme sasa hivi, wangemjua vizuri wangesema hadi wanaume kawapita roho ya ujasiri.
Sinyali we boss kubwa mama la kujiamini, huyo mama ukimzingua jua anakuzengua mara mia 10,000,000 hahhaa.
Wadau bye bwana nawahi nawahi bajaji za Mwenge natoka Posta, baadae ashampoo hapa.
Inamsaidia nini yeyote yule?