MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Wewe ni mshabiki wa chama gani?Hizi ndizo akili za maiti, kweli humuoni anayepewa na kupokea kwa mikono miwili akishukuru. Kushabikia CCM ni zaidi ya ugonjwa.
Wewe ni mshabiki wa chama gani?Hizi ndizo akili za maiti, kweli humuoni anayepewa na kupokea kwa mikono miwili akishukuru. Kushabikia CCM ni zaidi ya ugonjwa.
Hahahaa bavicha nimeishawaambia propaganda hazitawasaidia...
Nilikuwepo kwenye huo mkutano na alikuwa anatunzwa na watu sio kwamba yeye ndio alikuwa anatoa pesa.
Acheni propaganda za kitoto...
Hahahaa bavicha nimeishawaambia propaganda hazitawasaidia...
Nilikuwepo kwenye huo mkutano na alikuwa anatunzwa na watu sio kwamba yeye ndio alikuwa anatoa pesa.
Acheni propaganda za kitoto...
Hiyo hela kapewa jamani!!
Bavicha acheni majungu!!! Hiyo pesa kazawadiwa, siyo yeye alieyetoa, and that's the reality if you listen.
#hapakazitu
#mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi.
Acha kujifanya unajua sana kaka unakimbilia sisa af huelewi chochote.kwann asiwape wote
Ingekuwa Lowassa hapa blog zote, Tv zote na NEC pia wangeingilia kati hili swala la rushwa. Juzi Lowassa tuu kanisani kaomba kura vyombo vya habari, magazeti na NEC wamelifanya issue kubwa. Kweli nakumbuka maneno ya yule bibi aliyesema hichi ni KISIWA CHA UVUMLIVU, lakini si utilivu. Maana hakuna haki..!!
Leo katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu alikuwa akigawa pesa kwa watu waliohudhuria mkutano wake.
Naona sasa CCM baada ya kuona mambo yamekua mabaya wanatumia fedha kuwarubuni wananchi ili kushinda uchaguzi.
Tunaomba takukuru na tume ya uxhaguzi mfuatilie swala hili kwani linakiuka sheria za uchaguzi.
Sina hakika kama una taaluma ya usalama na utambuzi.
Kama ukweli hauko likizo!
Itazame mikono hiyo na uandike thread nyingine ikionesha ukweli wa ulichokiona.
KUNYWA KISTAARABU!
CCM Hatuna Muda Wa Kujibu Maswali Ya Kipumbavu Na Kilofa.
Hivi Kumbe Na Wewe Huwa Unapotezaga Muda Wako Kuhangaika Na " Wapumbavu Na Malofa? ".
Tanzania daima na magazeti yote ripotini swala hili,, ukawa achen kufumbia macho haya yapeleken Nec!
Ingekuwa ni mgombea wa upinzani amefanya hivyo ni lazima angefutiwa kugombea na sasa angekuwa lupango. Haya sasa ndiyo wananchi tunataka iwe basi, tumechoka.
Mwalimu Nyerere alisema "upumbavu ni kipaji kama vile urefu na ufupi". Kwa lugha rahisi ukishakuwa mpumbavu huwezi kubadili hata kama utapelekwa chuo kikuu cha Havard. Ulichokibandika hapa ni propaganda ya kipuuzi kwa sababu umeshindwa hata kuelewa ili jambo liwe rushwa linapaswa kuwa na sifa gani. Sifa kubwa ya rushwa, kwa kukusaidia, ni usiri. Rushwa gani hutolewa haradhani mkutanoni? Kama si ulofa ni nini?
Mama Samia alikuwa anawatuza wacheza ngoma, jambo ambalo hufanywa katika mikutano mingi hata ya wapinzani. Kutunza mtu aliyefanya vizuri si dhambi kwa Mungu na haiwezi kuwa haramu kwa sheria za binadamu. Nyie hangaikeni kumpandisha mzee wenu kwenye majukwaa acheni kuhangaika na mama Samia anachanja mbuga kuomba ridhaa ya wapiga kura.

So unashauri wagombea wote wafanye hivi? Sheria ya rushwa ina excuse? Duh kweli CCM ni wakongwe wa Sheria then