Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

Kuna mwananchi gani wa kawaida anaweza kumpa samia hela:what: au anawapa nauli ya kuwarudisha makwao coz mafuso yaliyowaleta yamejaa:what:
 
Leo katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu alikuwa akigawa pesa kwa watu waliohudhuria mkutano wake.

Naona sasa CCM baada ya kuona mambo yamekua mabaya wanatumia fedha kuwarubuni wananchi ili kushinda uchaguzi.

Tunaomba takukuru na tume ya uxhaguzi mfuatilie swala hili kwani linakiuka sheria za uchaguzi.

Wewe shost, una tumbo la kuhara?
Ama una ujauzito wa Kobe? Jifunza kusoma picha!! Tatizo mmezoea St. Kayumba!! Ndo mnakuja kuleta uharo!!
 
Mwalimu Nyerere alisema "upumbavu ni kipaji kama vile urefu na ufupi". Kwa lugha rahisi ukishakuwa mpumbavu huwezi kubadili hata kama utapelekwa chuo kikuu cha Havard. Ulichokibandika hapa ni propaganda ya kipuuzi kwa sababu umeshindwa hata kuelewa ili jambo liwe rushwa linapaswa kuwa na sifa gani. Sifa kubwa ya rushwa, kwa kukusaidia, ni usiri. Rushwa gani hutolewa haradhani mkutanoni? Kama si ulofa ni nini?

Mama Samia alikuwa anawatuza wacheza ngoma, jambo ambalo hufanywa katika mikutano mingi hata ya wapinzani. Kutunza mtu aliyefanya vizuri si dhambi kwa Mungu na haiwezi kuwa haramu kwa sheria za binadamu. Nyie hangaikeni kumpandisha mzee wenu kwenye majukwaa acheni kuhangaika na mama Samia anachanja mbuga kuomba ridhaa ya wapiga kura.

Matumizi yoyote ya fedha kwenye kampeni hayakubaliki wewe nani kakuambia inaruhusiwa kutunza?.Kama hujui kanuni za uchaguzi ni vema ukakaa kimya kuliko kuupotosha umma.
 
ccm bila rushwa hawatoboi. Wajanja wameshawashtukia wanazitafuna tu na kura hampewi.
 
ccm bila rushwa hawatoboi. Wajanja wameshawashtukia wanazitafuna tu na kura hampewi.

Mwambiye mbowe arudishe Ile 10B, akiyohongwa na Lowassa ili achinjie upinzani baharini!! Afu nina wasi wasi ulisoma memkwa au gombaro!!
 
Mtasema saana tu sana sana NEC wakitaka kujitutumua watasema kuanzia sasa watu wasimtuze mgombea hela. Kwisha kaz.
NEC si lolote wala hiyo Taakuukuu haiwezi lolote kwa SiisiiEeem. Itamke neno Hosea kama hatakuta ile ofisi imewekwa kuwa maonesho. Hawezi lolote. Watakuambia kuwa atii alikuwa anampa hela ya kula alioombwa. Hizo huko mkononi ni za nini?? Yaani mgombea anatembea na hela za kununua chakula au maji?? Picha gani hii jamani??
Kwa CCM, hii si ajab, ndo maana tunasema Magufuli ni gea tu ya kuingia Ikulu kusema ati atamaliza rushwa. Na nadhani ili kuidhoofisha Chadema, atalia sana na hao kunguni wawili waliotoroka kwenye kitanda (Chama chao ccm)
 
Yaani bavicha Leo niko Inn, hapa hatoboi na nyeti zenu mbichi!!! #hapakazitu babangu #mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi

Kweli mwaka huu kila idara mmeishika, mpaka jf! Zamani mtu akitukana hivi anafungiwa kwa muda usiojulikana, but kwa kuwa ni mpiga debe wa ccm basi mods wanaona ni katika kujibu tu Hoja,
Ila sijui kama na hasira za wananchi mtazimudu kwenye sanduku, yangu mach
 
Acha kuishi ki mapokeo.
#hapakazitu babangu
 
Kuna mwananchi gani wa kawaida anaweza kumpa samia hela:what: au anawapa nauli ya kuwarudisha makwao coz mafuso yaliyowaleta yamejaa:what:

Yani uwongo ukigota raha sana, Ila unajua ni raha ya ajabu unapomshudia mtu akidanganya kwa madaha huku mwenyewe ukiwa unautambua ukweli.
Mara wanatunzwa wacheza ngoma, mara wanachangisha mchango, yani mradi uwongo upenye
 
Yaani tuhamasishane kwa nguvu kupiga kura,.ili tumtoe huyu ibilisi ccm madarakani.
 
Huyu mama anafikiri umakamo wa raisi ni kuchakachua ka maoni ya bunge la katiba
 
Back
Top Bottom