Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

Duh, hii hatari ...

Wap hiyo, maana kwa nyuma pale namuona mbunge wa Bahi ambaye na yeye ana kesi ya Rushwa mahakamani ...!!

NEC/ TAKUKURU Chukueni hatua haraka sana
Nimesikitishwa sana

mkuu hawa wamezoeaa sana, yani ingekuwa lowassa pangenuka humuu
 
Hiki kitendo nakipinga kwa nguvu zote. Kitendo alichokifanya huyu mama ni laana ambayo baba wa taifa aliikemea kwa nguvu.

Baada ya kuona sasa mambo yanaenda kombo, mnalazimisha ushindi kwa kutoa rushwa.

Hii ni hatari kwa taifa, na hatuta vumilia kamwe.
Tunataka tume ya uchaguzi na takukuru mtupe maelezo na mumfungie huyu mama kufanya kampeni, kwani anadhalilisha chama chetu.

Ukiwa mwananchi unayechukia rushwa, embu onyesha hisia zako hapa kupinga kitendo hiki.

Sina hakika kama una taaluma ya usalama na utambuzi.
Kama ukweli hauko likizo!
Itazame mikono hiyo na uandike thread nyingine ikionesha ukweli wa ulichokiona.

KUNYWA KISTAARABU!
 
Mtoto wa mkulima waziri mkuu anayejua kulia mheshimiwa sana mizengo kayanza pita pinda wkt anaomba ridhaa ya wanaccm ateuliwe kupeperusha bendera ya urais alitoa ahadi kuwa ATAHAKIKISHA TAKUKURU INAKUWA NA MENO.
Nilistuka sn. Waziri mkuu alikuw ana subiri nn kufanya hayo akiwa serikalini?
Km bossi wake alikataa kwa nn hakujiuzuru?
 
Huyu Mama kwa muonekano wake kama sio mchawi basi atakuwa na mtindio wa akili

Amefikia hapo kwa sababu moja tu. Alionesha ujasiri wa hali ya juu kwa kushirikiana na samweli sitta kuchakachua maoni ya watz kuhusu katiba mpya. Yeye ndo alishiriki kuweka kura feki za mahujaji, yeye ndo aliongoza mbio za kuhonga na kutisha wale wazanzibari wana ccm waliosema hawaitaki rasimu ya ccm wanataka ile ya wananchi.
Kwenye ccm ukifnya uharamia dhidi ya wananchi ww ndo shujaaa
CC: makonda, nape, samia, mwigulu......
 
Mbona picha ni hiyo hiyo moja acha umaskini wa mawazo atagawaje kwa mtu mmoja

Wewe ndie masikini wa mawazo. Hiyo sio video bali picha mnato. Na hizo ten ten zote mkono wakushoto kazinyoosha saa ngapi? Ubishi wa kitoto acha mara moja. Hata Mkapa alipotukana wazi wazi pia ulibisha. Kintakachoimaliza ccm ndio hicho. Pachafu watu wanatokwa mapovu wakitetea ni pasafi. Poor on you.
 
Kama una uchungu mama kugawa pesa nenda ukazae basi uchungu uishe
 
Hiyo hela kapewa jamani!!
Bavicha acheni majungu!!! Hiyo pesa kazawadiwa, siyo yeye alieyetoa, and that's the reality if you listen.
Hizi ndizo akili za maiti, kweli humuoni anayepewa na kupokea kwa mikono miwili akishukuru. Kushabikia CCM ni zaidi ya ugonjwa.
 
Au ndo kaanza kutekeleza ahadi ya kugawa milioni 50?! Maana kwa mtu mmoja mmoja elfu kumi ndo unaweza kuwa mgao
 
Hahahaa bavicha nimeishawaambia propaganda hazitawasaidia...

Nilikuwepo kwenye huo mkutano na alikuwa anatunzwa na watu sio kwamba yeye ndio alikuwa anatoa pesa.

Acheni propaganda za kitoto...
 
Back
Top Bottom