Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

Leo katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu alikuwa akigawa pesa kwa watu waliohudhuria mkutano wake.

Naona sasa CCM baada ya kuona mambo yamekua mabaya wanatumia fedha kuwarubuni wananchi ili kushinda uchaguzi.

Tunaomba takukuru na tume ya uxhaguzi mfuatilie swala hili kwani linakiuka sheria za uchaguzi.

Mbona picha ni hiyo hiyo moja acha umaskini wa mawazo atagawaje kwa mtu mmoja
 
Kila kitu kikifanya chama tawala hata kwa wema mnaanza uzushi tangu lini rushwa mtu akapewa kwa watu wakiona acheni fikra za mgando asee
 
Hao watu wa USALAMA wanaoongozana NA Samia Kama ni wa ccm au anatumia wa Serikali ..NA kampeni team inayoongozana naye anatakiwa wapigwe chini ...NA Pia lazima kuhoji uwezo BINAFSI wa Samia Kama kiongozi ku reason

Acha kujifanya unajua sana kaka unakimbilia sisa af huelewi chochote.kwann asiwape wote
 
attachment.php

Shamba la Bwana Heri..Minazi ya Bwana Heri...wewe Mabrouk utafanya nini???
 
Hiki kitendo nakipinga kwa nguvu zote. Kitendo alichokifanya huyu mama ni laana ambayo baba wa taifa aliikemea kwa nguvu.

Baada ya kuona sasa mambo yanaenda kombo, mnalazimisha ushindi kwa kutoa rushwa.

Hii ni hatari kwa taifa, na hatuta vumilia kamwe.
Tunataka tume ya uchaguzi na takukuru mtupe maelezo na mumfungie huyu mama kufanya kampeni, kwani anadhalilisha chama chetu.

Ukiwa mwananchi unayechukia rushwa, embu onyesha hisia zako hapa kupinga kitendo hiki.
 

Attachments

  • 1442245821423.jpg
    1442245821423.jpg
    19.8 KB · Views: 1,117
mkuu acha ubishi wa chooni, mimi ndiye mpiga picha na nilishuhudia mwenyewee kabisa na macho yangu

Duh, hii hatari ...

Wap hiyo, maana kwa nyuma pale namuona mbunge wa Bahi ambaye na yeye ana kesi ya Rushwa mahakamani ...!!

NEC/ TAKUKURU Chukueni hatua haraka sana
Nimesikitishwa sana
 
ccm tunaomba mfanye kampeni za kistaarabu, mana sasa hamtushawishi bali mnatulazimisha
 
Back
Top Bottom