Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

Hiyo hela kapewa jamani!!
Bavicha acheni majungu!!! Hiyo pesa kazawadiwa, siyo yeye alieyetoa, and that's the reality if you listen.
#hapakazitu
#mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi.

na ukitaka na clip yake naiweka humu mda si mrefu sema net inasumbua hapa
 
Apewe au alipwe huyo mama kama zawadi au kwa kazi gani aliyofanya?

Wacheni kutetea uvunjifu wa wazi wa sheria za nchi yetu.

Ndo kazawadiwa Sasa kajinyonge!! Usiniletee viroba!!
 
Msishabikie msichokijua... na ww ulizusha uongo unatakiwa uchukuliwe hatua na TCRA. mtu anapokea mchango wa wananchi eti anagawa rushwa
 
Msishabikie msichokijua... na ww ulizusha uongo unatakiwa uchukuliwe hatua na TCRA. mtu anapokea mchango wa wananchi eti anagawa rushwa

Waache mkuu wajikanyange, Bavicha kulialia ndo zao
 
hawa ni UVCCM wakisikitika na kitendo cha Samia Suluhu kutoa rushwa waziwazi!!!
 

Attachments

  • 1442244251554.jpg
    1442244251554.jpg
    49.2 KB · Views: 380
Leo katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu alikuwa akigawa pesa kwa watu waliohudhuria mkutano wake.

Naona sasa CCM baada ya kuona mambo yamekua mabaya wanatumia fedha kuwarubuni wananchi ili kushinda uchaguzi.

Tunaomba takukuru na tume ya uxhaguzi mfuatilie swala hili kwani linakiuka sheria za uchaguzi.

BAVICHA, hivi mbona mnajifanya kujitoa fahamu? Huo ni mchango alipoke Sasa kama mchango ni rushwa basi bavicha mnaojifanya mko mstari wa mbele, mmenusa upepo, hiyo sio Habari, nendeni mnakojua.... #hapakazitu babangu
 
Ingekuwa Lowassa hapa blog zote, Tv zote na NEC pia wangeingilia kati hili swala la rushwa. Juzi Lowassa tuu kanisani kaomba kura vyombo vya habari, magazeti na NEC wamelifanya issue kubwa. Kweli nakumbuka maneno ya yule bibi aliyesema hichi ni KISIWA CHA UVUMLIVU, lakini si utilivu. Maana hakuna haki..!!

Ndugu lowasa hakuomba kura, alisema naomba niombeeni, niombeeni sana, aliomba sala za waumini hakuna sehemu yeyote na yeyote anaeweza thibitisha kuwa aliomba kura
 
Hiyo hela kapewa jamani!!
Bavicha acheni majungu!!! Hiyo pesa kazawadiwa, siyo yeye alieyetoa, and that's the reality if you listen.
#hapakazitu
#mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi.

Hivi Kumbe Na Wewe Huwa Unapotezaga Muda Wako Kuhangaika Na " Wapumbavu Na Malofa? ".
 
Hao watu wa USALAMA wanaoongozana NA Samia Kama ni wa ccm au anatumia wa Serikali ..NA kampeni team inayoongozana naye anatakiwa wapigwe chini ...NA Pia lazima kuhoji uwezo BINAFSI wa Samia Kama kiongozi ku reason

CCM Hatuna Muda Wa Kujibu Maswali Ya Kipumbavu Na Kilofa.
 
Back
Top Bottom