Ndugu lowasa hakuomba kura, alisema naomba niombeeni, niombeeni sana, aliomba sala za waumini hakuna sehemu yeyote na yeyote anaeweza thibitisha kuwa aliomba kura
Hiyo hela kapewa jamani!!
Bavicha acheni majungu!!! Hiyo pesa kazawadiwa, siyo yeye alieyetoa, and that's the reality if you listen.
#hapakazitu
#mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi.
Leo katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu alikuwa akigawa pesa kwa watu waliohudhuria mkutano wake.
Naona sasa CCM baada ya kuona mambo yamekua mabaya wanatumia fedha kuwarubuni wananchi ili kushinda uchaguzi.
Tunaomba takukuru na tume ya uxhaguzi mfuatilie swala hili kwani linakiuka sheria za uchaguzi.
Mkuu asanteeeee... Tena waufute huu uzi wa kimajungu wa bavicha.
#hapakazitu
#mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi.
Kwani wewe ni mjinga? Hujui kuangalia picha? Photography kwenye geography ulikuwa unaeza tambua activities by just looking on the photo? Sasa kama hiyo uneshindwa basi, utakuwa umefeli, na uko kitaa unazeekea viroba, ndo maana tunashabikia vitu vya ufala, eg ukawa!!!
Mbona hutaki kuelewa, andika hili neno mahali >>>>#hapakazitu, haya andika uwe unajikumbusha sawa?
Anagawa au wanamgawia......??.!!
Kweli wewe ni makundu na ccm inanufaika na kuwepo mtu kama wewe, na mko wengi. Unajua UKAWA maana yake nini? Umesikia wapi kuwa ipo?Mkuu hii ni zaidi ya kuomba kura makanisani na misikitin !!UKAWA fanyieni kazi hili mara moja mlilipoti kwenye tume ya uchaguzi tuone hatua watakayochukua Ukilea nyani utavuna mabua.