Acha ujinga hapo juu kuna floor 7 na basement floor 3 sasa hapo wapi kuna Eneo kubwa?
Kwani kuwa chini ndio justification ya bil.44.5?
Afadhali umenena hivyo, maana sisi huwa tunadhania jengo la benki linajengwa kwa tofali zile zinazotolewa 40 kwa mfuko mmoja wa sementi.
Jengo hilo kwa 44 bilioni, Gavana wa bank kuu wajibika kabla hujaaibika .Nimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44. Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi.
===
Nimeambiwa kwamba shilingi bilioni 23.37 ni kwaajili ya ujenzi na shilingi bilioni 18.73 zimetumika kuweka mitambo na mifumo mbalimbali. Niitumie fursa hii kuipokenza Benki kuu kwa jengo hili zuri na la kisasa.
Mheshimiwa pamoja na sifa hizo ujenzi gharama kidogo imesisimua mishipa ya damu lakini hili tutalitazama jinsi tunavyokwenda kwa leo ni sherehe ya uzinduzi wa jengo. Fedha zimetumikaje, zimeendaje tutashikana huko.
Watanzania sisi kila kitu tunajifanya ujuwaji. Hivi inaamana ni kweli hujuwi jengo kama la benki tena KUU huwa lina standard zake?
Samia aliwekwa na Nani
Tulikuwepo kwenye presentation kuhusu hilo jengo kiongozi nikipata muda nitapost hapa.We ndio ulijenga
Ubaya tunaukalibisha sisi wenyewe.Jengo la 44 bilioni,tumepigwa sana sana sana.iundwe tume huru kulichunguza.
Hawa ndezi wanahisi ile ni ghorofa kama zile za Manzese π π πAmatus Lyumba alituhumiwa Kuiba hela za BOT...Lakini nilipoingia mle ndani jinsi majengo yalivyojengwa kule BOT ni kiwango cha juu mno.
Wewe na Bil 3 sijui umezingatia nini tupe analysis sio majungu tu...
Ni kweli kabisa, na mifumo inayojengwa na kuundwa humo hasa ya kiusalama ni ya gharama kubwa.Jengo kubwa na imara, kuna basement ya maana pale chini. Benki kuu haijengwi kama Guest za Buza mkuu
Hii ni kwa mujibu wa utetezi wa gavana Luoga! Msisitizo ulikuwa uimara wa kuhimili bomu na hiyo ikahalalisha matumizi ya 44Bil!Umeona bomu tuu.kwanini hukuwaza majambazi?
Umesahau walichofanya wakina AmutusWatanzania sisi kila kitu tunajifanya ujuwaji. Hivi inaamana ni kweli hujuwi jengo kama la benki tena KUU huwa lina standard zake?
Hakuna ujenzi wowote wa ajabu kujustify upigaji huo! Utaambiwa nondo moja tu ktk zilizo tumika hapo ni 1m, trip moja ya mchanga wa kujengea bot ni 5mπ! Upuuzi mtupu! Isitoshe, wizi wa fyeza bot hufanywa mchana kweupe na signatories wameanguka signs na mtunza funguo na passwords za vault zikiwekwa na askari kusindikiza! Haya mengine ni swaga tu, hakuna lolote! Mfyuuuuuu π‘!Hawa ndezi wanahisi ile ni ghorofa kama zile za Manzese π π π
Mzee zimekutembelea na wweJengo kubwa na imara, kuna basement ya maana pale chini. Benki kuu haijengwi kama Guest za Buza mkuu
Still tumepigwa badoMkuu umefanikiwa kuona BOQ au ni picha pekee umeona?
Kumbuka jengo la bank linaweza onekana simple kwa nje lkn gharama kubwa ikawa kwenye kuliimarisha na security kwa maana ya miundo mbinu yake.
Tusitarajie jengo na uimara wa jengo la BOT liwe kama Saluni ya Mama Kimbo.