lakn sio kwa bil44, mama yupo sahihi tumepigwaJengo kubwa na imara, kuna basement ya maana pale chini. Benki kuu haijengwi kama Guest za Buza mkuu
Mama alisema hivyo ya kuwa tumepigwa?..lakn sio kwa bil44, mama yupo sahihi tumepigwa
Kasema leo sio siku ya kuongelea hilo suala maana yake kuna uchunguzi wa usalama wa taifa na takukuru utakaochunguza.lakn sio kwa bil44, mama yupo sahihi tumepigwa
Huyu Gavana wa BOT aliyewekwa na jiwe,nadhani alimuweka kwa madhumuni maalumu...
ile ripoti ya BOT ya Jan-March mama hajatujuza bado
Mpigwe tuNimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44
Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi..
View attachment 1817321
Eneo kubwa la hiyo benki ipo chini ya ardhi huku juu ni kama hewa tu chiniya ardhi ndio kuna kila kitu nazan umeelewa.Nimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44
Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi..
View attachment 1817321
Jiwe hakumtaka 2015,wazee wakamkazia,2020 hakuwa na ujanja.Samia aliwekwa na Nani
Jengo la Benki Juu siyo kama stand ya busNimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44
Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi..
View attachment 1817321
Jiwe hakumtaka 2015,wazee wakamkazia,2020 hakuwa na ujanja.
Ulitegemea aseme kinyume chake?....Yeye mwenyewe alisema jiwe ndie aliemchagua, wewe hayo ya wazee umeyatoa wapi? Unajua maana ya first hand information?