GE2025 Mama Salma Kikwete kugombea ubunge ni kujivinjia heshima aliyoijenga miaka mingi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne

First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi

Anapigiwa mizinga

First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari

First lady Bi Salma alikuwa na foundation yake na ilifanya vyema

First lady anagharamikiwa na Serikali Kwa lolote hadi hapo kifo kitakapomchukua

Ni nini anatafuta huyu mama kwenye ubunge, mbona hatuoni wake wa wastaafu wengine wakihangaika na ubunge.

Huyu mama Huwa anamshauri nini Mzee wetu Mstaafu, kama Kwa yeye aliyeishi Ikulu kama kwake anahangaika na ubunge

Huyu mama hata bungeni Huwa hajengi hoja ya kueleweka.

Waliopo karibu nae na wanaompenda wamshauri aachane na hivi vyeo vya ubunge

Ona Leo familia inajadiliwa na wananchi kisa yeye

Mbona Mama Janeth Magufuli, Anna Mkapa, Sitti Mwinyi, Maria Nyerere wametulia na wala hakuna anayewajadili

Mama Salma aache uchu wa madaraka aache Watanzania wengine ambao hata hawatafika nafasi aliyoifikia wapate hizo nafasi

Kwani alisahau nini? Mbona hatosheki?
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha siku akiwa Rais wa JMT usishangae
 
Ni tamaaa za kipumbavu tu .Watu hawana aibu mbele ya hela mzee mtasubili sana familia mtaisema sana ila tambua hawajamaa hawacheki na wowote.

Hii familia hainatofauti na mbwa aliyeona mfupa. Au mvulana malaya aliyeona tako la binti wa miaka 18
 
Inasikitisha sana,haya yote yatafika mwisho siku watanzania wakiamua kuingia barabarani
 
Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne

First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi

Anapigiwa mizinga

First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari

First lady Bi Salma alikuwa na foundation yake na ilifanya vyema

First lady anagharamikiwa na Serikali Kwa lolote hadi hapo kifo kitakapomchukua

Ni nini anatafuta huyu mama kwenye ubunge, mbona hatuoni wake wa wastaafu wengine wakihangaika na ubunge.

Huyu mama Huwa anamshauri nini Mzee wetu Mstaafu, kama Kwa yeye aliyeishi Ikulu kama kwake anahangaika na ubunge

Huyu mama hata bungeni Huwa hajengi hoja ya kueleweka.

Waliopo karibu nae na wanaompenda wamshauri aachane na hivi vyeo vya ubunge

Ona Leo familia inajadiliwa na wananchi kisa yeye

Mbona Mama Janeth Magufuli, Anna Mkapa, Sitti Mwinyi, Maria Nyerere wametulia na wala hakuna anayewajadili

Mama Salma aache uchu wa madaraka aache Watanzania wengine ambao hata hawatafika nafasi aliyoifikia wapate hizo nafasi

Kwani alisahau nini? Mbona hatosheki?

ACHA UONGO. HIYO HESHIMA ALIJENGEA WAPI?
 
Tatizo ni nyie kuendelea kumchagua
Acheni kupiga kura
All in all tafuta chimbo ulambe asali tuu
 
Back
Top Bottom