Mama Salma Kikwete asalimiwa kwa ishara ya Chadema na Wanafunzi wa Shule

atajipanga!! mbeya walishamfanyiaga huu mchezo, tena ni akina mama wa rika lake!!hapo wa kuulizwa ni wazazi pia.

wazazi wanaingiaje hapo?

hao watoto ni chipikizi wa chadema. kwani ccm ndiyo yenye hati miliki ya ku-recruit chipukizi mashuleni peke yake?
 

Sidhani kama anakumbuka kuwa aliishawahi kuwa mwalimu katika maisha yake.
 
tukisema peopoooooozzzz powere,hata wototo wanaruhusiwa kujbu,so sion tatizo hapo,ina maana wao maisha magumu yanawapita pembeni?
 
Kama kuna msemakweli basi ni watoto mwenzao zamani aliweza kumuumbua mfalme mbele ya watawaliwa mbumbumbu pale alipomwambia mamake kwa sauti kuwa mfalme yuko uchi! wakati mijitu mizima ilikuwa ikimshangilia eti mfalme kavaa suti maridhawa.
 
Ukombozi wa kweli umewafikia hata watoto wadogo,hiyo ni salamu kuwa hata watoto wameichoka ccm.Kweli Peoples power ni noma,Chadema kwa sasa inakubalika kila kona ya nchi.
 

kawaida tu, inamaana mtu wa Ulaya akionyesha hivyo hata kutoka kwao ni wana chadema? Acheni kucreate mambo.
 
hili ni kosa la DC?

Sio kosa la DC, lakini kama ujuavyo maswala ya kiprotokali yule ndiye highest rank after her as a guest of honour, so DC will then go down to the next rank until the last person is reached.
 
Akiviona anwaza kuwa uchanguzi haujafanyika,mawazo yake kuwa akiondoka ikulu hivi karibuni
 
Yeye kama mwalimu angeanza kutoa somo hapohapo awafundishe namna ya kuonyesha alama ya jembe na nyundo....Najua baada ya hapo madent wangemzomea halaf Nape angetumwa na mzee awapelekee madent ice cream watulie.
 
Walikuwa wanamkumbusha tu kuwa pale Magogoni yeye ni JK ni wapangaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…