mke wa raisi ni taasisi mkuu...YES anae body guard..
kwa taarifa kama ilivyo kwa raisi..hata akistaafu bado anaendelea na bodyguards wake..kadhalika kwa mke wa rais
...Maswali mengine bana, ndiyo hasara za kuvuta majani na kubwia gongo as break fast !
Huyo ni first lady, ana boardguards sio huyo mmoja tu kila anapokwenda. Unadhani Michele huwa anakatiza mitaani akiandamana na mahausigelo ? Eboo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.