Mama Salima Kikwete naye ana bodigadi nini

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Mgeni%2Brasmi%2BMke%2Bwa%2BRais%2BMama%2BSalma%2BKikwete%2Bakiongea%2Bkatikamahafali%28kulia%29%2Bni%2BMwenyekiti%2BwaJOHA%2BTRUST%2BSolomon%2BOdunga.JPG
 
Kwani wewe ulitakaje?
Mbona ni jambo la kawaida kabisa.
OTIS.
 
Tatizo ni nini?Wewe uko nchi gani hujui hata protokali ya nchi yako?Hujaona wake wa marais wengine wana mabodigadi
 
muacheni mwalimu wangu wa stadi za kazi, alinifundisha kuruka viunzi kawe A japokua vile viunzi havijanisaidia ha ha bi.dada ana mbwe mbwe huyooo..
 
mke wa raisi ni taasisi mkuu...YES anae body guard..
kwa taarifa kama ilivyo kwa raisi..hata akistaafu bado anaendelea na bodyguards wake..kadhalika kwa mke wa rais
 
...Maswali mengine bana, ndiyo hasara za kuvuta majani na kubwia gongo as break fast !
Huyo ni first lady, ana boardguards sio huyo mmoja tu kila anapokwenda. Unadhani Michele huwa anakatiza mitaani akiandamana na mahausigelo ? Eboo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom