Mkuu huyu mama anafadhiliwa na wabaka haki hasahasa Wafisadi. Watanzania tuwe macho tunanyimwa haki. Mpaka hata mtu anaejifanya wa Mungu anaungana nao kutumaliza.
hawana maana yoyote.....itungwe ili iweje..kwani humu tunatumia majina halali?.....
Msekwa alijaribu, huenda wakafanikiwa
yetu masikio ngoja tuone
Msameheni bure. Hana hoja, swali wala mchango wowote tangu aingie bungeni. Angalau mwacheni leo ajitutumue kupitia mgongo wa JF na yeye aonekanage we!!!
mchungaji mwizi.......wapi na wapi!!!
Mkuu karibu hapa JF, mimi naitwa only83..JF ni zaidi ya uijuavyo..hata mkuu wa kaya ni member hapa na uwa anafaidika na mawazo ya wanaJF.. wazo la kuwa JF ni ya CDM nadhani ni ule muendelezo wenu wa kutumia kufikiria kwa kutumia makalio...
Kama vijana na wanachama wa magamba hawajui umuhimu wa kutumia mitandao kama sehemu ya kujijenga msisingizie JF kuwa ni ya CDM..Hakuna uhusiano wa JF na CDM isipokuwa member wengi wa JF wanaweza kuwa ni wanachama wa CDM, japo sina uhakika sana na hili.