J.K.Rayhope
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 316
- 31
what a priest cum legislator, how many teeth does this mama have?
Yupo sana MMU kule ... Ni mchakachuaji mzuri wa thread....
Hilo (Ktk bold grey) haliwezekani kwa sababu yeye pia ni sehemu ya mafisadi. Kwa hakika sielewi kabisa anaitwa mchungaji kwa lipi maana ni mlaghai, mwizi, fisadi na anahangaika na masuala ya dunia zaidi akijitafutia vyeo, utajiri na sifa na ujiko. Nawapa pole waliofanywa mateka kwa hila zake mtumishi wa ibilisi huyu aliyeibukia kuwa tajiri kwa historia chafu ya dhulma ya fedha za NGO ya watoto yatima. Mwenye tumbo lisilotosheka na ngawira anazokusanya kwa hila za ki-ibilisi. Hivi serikali hii huwa inatunza kumbukumbu za wahalifu kweli? Sijui JK alitumia kigezo kipi kumteua mtu wa ovyo namna hii kuwa mbunge, asiyejua kujenga hoja wala kutoa michango ya hoja zenye mantiki kwa jamii. Ni aibu kabisa kwa wana Moro anaowawakilisha kama mbunge wao wa viti maalum toka mkoa huo. Naamini ipo siku u-free masion wake utajidhihirisha hadharani na kuumbuka vilivyo. Kwake mtumwa wa ibilisi huyu, watu wanaokufa kwa kukosa huduma ya madaktari si tatizo, tatizo ni hoja zinazoandikwa JF kuiweka jamii katika mstari! Hili linadokeza umuhimu wa kuwepo kwa kipengele katika Katiba inayokuja cha kumwondoa mbunge anayejidhihirisha kuwa mzigo au fedheha kwa watu anaowawakilisha kama huyu. Shame on herHivi wanashindwa kuongelea mgomo wa madaktari huyu ni mchungaji wa mbuzi u kondoo? anajipanga kuuliza swali lisilo na tija kwake,eehh akishajua mmliki wake what next?mbona facebook hawaulizi?au kwa vile na yy ni member kule?ni bora hata angeweka maombi maalum kuliombea bunge ili wabunge wenzake magamba wakatae hizo laki 3 wanazopewa kwa kuulia mmiliki wa JF ni nani.
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.
Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.
UPDATE:
OLE WENU MNAO MNYOOSHEA MTUMISHI WA MUNGU KIDOLE... mtu akinitumikia BABA atamheshimu said JESUS. mimi simoooo..
Mama Rwakatare Uje humu JF Tena kwa ID Tutakayoifahamu ni wewe! Uombe Radhi wana JF na WaTg kwa ujumla wao. Kwa kujaribu kuifunga kinywa, SAUTI ya WASIOKUWA NA SAUTI!
Usisubiri kikosi kazi kikufuate, kukuuliza, KUNANI?
La sivyo halitaisha mpaka kieleweke.
HUYU MAMA NLIAMINI SI MTUMISHI WA MUNGU TENA NI MCHAWI WAKATI WA MSIBA WA DADA YETU KIPENZI REGIA. Kwa leo staki kuongea sana, ila I want to tell u guys LWAKATARE NI MCHAWI.