Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

mama getrudei
anasahau alikotoka kabla hajaachana na mzee lwakatare
alikopata milioni 80 za kuanzisha st mary tabata mwaka 1996
Alivyonunua eneo la Valmet mbagala na kuligeuza shule
mgogoro wake na shareholder mwenzie kijana aitwaye adam hadi kufikia kumalizana kwa kumlipa pesa na nyumba kariakoo?
alivyopata kiwanda cha mang'ula na kukifilisi?
hata mgogoro wake wa kumhujumu mch mwenzie kakobe...
Yote tunayajua na akitaka tukae kimya nae atuliee na kuhudumia mabwana watatu,sisa na dini na biashara
 
pia na kuendelea kutoa semina za nfoa wakati yake iliparaganyika zamani...je tembe anazoyoa yeye hazikumfaa?
 
Si vizuri kumsema mtumishi wa Mungu lakini inapokengeuka lazima aelezwe,JF is home of great thinker ni zaidi ya bunge lao la kusinzia na kujipatia 330,000/= per day.Huu ni mtandao wa kijamii ulioguswa na matatizo ya jamii nzima.Ndo maana kuna rules and regulations zake.Hiki si kijiwe cha wahuni kama anavyofikiri,arudi kwa Mungu wake apige magoti atubu.Kama ndo kulipa fadhila kwa kupewa nafasi hiyo kwaajili ya kuwashawishi wapiga kura wanaosali katika kanisa lake basi hapa amegonga ukuta.

Jibu hoja, viongozi wa dini mlishutumiwa na rais kuwa ni wahusika wakubwa wa dawa za kulevya,mbona hamjatoa ushirikiano tena hata kuonekana mkikemea madawa hayo katika makanisa yenu,zaidi ya kuhamasisha sadaka tu.Shame on you honourable.Kama hoja ni maswali ili usiingie kwenye list ya wanaolala bungeni ulizia basi ni kwanini seriakali mpaka sasa haijatoa jibu wapi zilipo zile pesa zilizoibiwa kwenye mfuko wa E.P.A wakati walisema zitaingizwa kwenye kilimo!
 
Kama kuna matusi ya nguoni basi mama L bado hajayaöna magazeti ya ovyo zinazouzwa kwenye corridor za maduka, magazeti ya EX- Front page ina mtu yuko uchi au ampunguzwa mate mdomoni.

Haiingii akili kuona tusi la JF kirahisi, kwanza uwe na access, pili mpaka usearch, tatu uwe connected na internet.
Mama zungumzia hizi media zingine zilizokosa maadili. Acha na JF letu tena linatufichulia mafisadi. Otherwise kuna kitu imekugusa humu mtandaoni.
 
Hawa ndo wataharibu kila kitu! Kadri unavyowabana watu ndivyo wanavyogundua mbinu mpya! Wafunge JF waone kama watasolve tatizo. Huwezi kuwaziba watu midomo kwa sheria! wakumbuke access to internet is one of the human rights declared by UN.
 
Naona naye alitaka kuongeza idadi ya maswali alowahi kuuliza bungeni. Otherwise WANAPOTEZA MUDA!!!
 
JF imekuwa mwiba kwa watu wengi ambao wanafanya madudu yasiyosemeka, hongera JF members na uongozi wote kwa kazi nzuri. Labda nimkumbushe huyu mwishi wa pesa za masikini.

Hii sio karne ya kubanana, sasa hivi kule twitter kuna kitu kinaendelea ambacho nina uhakika vijana watakiunga mkono, kwahiyo fungeni mitandao yote ndio mtakuwa salama.

Mwizi Getrude lazima ujue kuwa member wa JF wengi wapo serikalini na ni watu wenye heshima zao, hawa ndio wanajua jinsi unavyokwenda kwa waganga Nigeria kupata dawa za kupumbaza watu masikini na kuendelea kuwaibia kupitia sadaka. Watakuandika hapa ukiwachokoza

Lakini vile vile lazima ujue kila Mtanzania ana uhuru wa kutoa mawazo yako leo na kutuita waongo na wahuni, hapa ni bungeni kwetu tuna kanuni zetu ambazo najua umeshazisoma kwani ukiingia mara ya kwanza unaambiwa kusoma hizo kanuni.

Kama tunavyokuvumilia ukisema pumba bungeni kwako au ukilala tuvumilie na sisi maana hapa bungeni kwetu pia tofauti ni kwamba hatutumii kodi za wananchi kuwakandamiza wenyewe

Mwisho nakutakia mchana mwema na itue JF ili upate amani kwani JF ina kila professional ambao wanaweza kukubeba ww na vishule vyako unavyoiba mitihani

Safi sana ndugu yangu,umewakilisha ujumbe tosha,niliyotaka kuongea yote umeyasema.Mungu akuzidishie werevu
 
kazi ipo mwaka huu Lengo lao ni kugombana na CHADEMA wamesahau motto ya JF
logo_m.jpg
 
Rwakatare umesahau ulipokuwa unakopa vyakula pale gerezani, maeneo ya kariakoo
 
Mama Rwakatare aka "godmother", huu ni wakati wa utandawazi, zimekwisha enzi zenu za ukiritimba wa habari.
 
kwa taarifa yenu huyu mama ni muuzaji mzuri wa madawa ya kulevya...anashirikana na wakubwa wenu serikalini....anatumia mwamvuli wa dini kuficha maovu yake.....huyu mama hana tofauti na huyo mnayemwita mkuu wa kaya wenu nae mwizi anasafirisha pembe za ndovu sana....ninyi watu amkeni kataeni huuu ujinga..waondoen hawa watu madarakani...... taifa halina mwelekeo

Naomba mtu atoe mada kuhusu huyu mama rwakatare,tumjadili kiundani na tuweke maovu yake yote wazi hapa JF ili ajue,hapana chezea sisi...Tuna ma fool data
 
Wana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.

Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.

UPDATE:

Ukishindwa kuongoza hata unyasi ukipigwa na upepo unashituka. Pimbi wakubwa hawa wanatafuna kodi yetu bila kuleta tija yoyote. We are coming to get you out of the leadership.
 
Ndilo tatizo la ubunge wa kupewa, anadhani sasa ni wakati muafaka wa kuggeka fimbo kwa wengine Anaacha mambo ya msingi kama madaktari wa mkoa wake walio goma anawaza JF tu atakufa pressure

Labda ajifunze kuwa wabunge wenzake walio makini wanao jua umuhimu wa JF ni member humu except her
 
kwa kweli sioni umuhimu wa viti maalumu
hata mbunge wa kawe alijua hilo ndio maana akaamua kujitoa viti maalumu akajiamini
akashinda,hawa wengine hawana ubavu ndio maana wanaibuka na kuzungumza mambo yasiyo ya msingi
huyu mama wasiwasi wake ni nn hadi atake chombo chetu kifungwe?? jibu moja kwa vile ameambiwa ukweli
na tumeibua mengi yaliyofichika kuhusu yeye, na bado mwiba utamchoma sana ndio maana nampenda shetani
huwa akitaka kukupata anakutia kwanza wasiwasi na mashaka na kukupoteza dira mwishoni anakuchanganya na utajisahau utafanya jambo litakalo kuumbua mbele za watu,yeye anabakia kupiga makofi kwa furaha..
long live JF. mwenye ile CD yenye sauti alosikika akipanga jambo na mchungaji mtikila ili wamwangamize kakobe huku akiwaahidi kwenda benki kuchukua hela za kuanza shughuli hebu aiweke hapa,nadhani atazimia kabisa.
 
Tumuulize, jamii forum ndio shida watu wamemtuma akaulize bungeni? Watu wengine sijui wanaenda bungeni kufanya nini
 
Back
Top Bottom