Mama Regina Lowassa Leo

Yaan huyu mama nampenda mpk najichukia, hahaahaa kweleakwelea
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa! Mkuu umenifurahisha sana. Kwa style hii tayari nimekuhesabu kuwa kura yako ni kwa ENL! Pamoja sana brow!!
 
Yan nimejikuta nasmile aseeh huyu mama yuko na furaha ya kwel sio ya kinafiki kabisaa hakika atakuwa mshauri mzuri wa rais wetu mtarajiwa mungu awape maisha marefu ili watz tuweze tuione nuru ambayo ilizimika miaka mingi watz wengi walipoteza tumaini lakin kupitia mama huyu shujaaa tz mpya inakuja
 
Huyu ndio Mama Maria wa pili....

Kumfafanisha Mama Maria Nyerere Na Mama Regina Lowassa Ni Sawa Na Kutaka Kulazimisha Mfanano Wa Mchezaji Nyota Wa FC Barcelona Ya Nchini Hispania Lius Suarez Na Mchezaji Mchovu Wa Yanga FC Ya Nchini Tanzania Malimi Busungu. Ukome Kumfananisha Mama Yetu Mama Maria Nyerere Na Huyo KOMWE Na MDOMO MPANUKO Wako.
 

Mkuu mabinti anao wakubwa na heshima zao..tena wako vizuri upstairs pale ukiingia kichwakichwa unaangukia pua.
 
Naona paipu imengia kunako unaanza kukata mauno
 
Mama anafanya kazi Sana,naamini amevuta wapiga kura wengi nchi nzima atakuwa mshauri mzuri WA raisi wetu
 
Huyu ndio Mama Maria wa pili....

Kama kutakuwa kutafuta U miss wa ma festi ledizi katika Africa bila shaka hutu mama atachukua taji na ataitangaza vizuri Tanzania!!! sifa mbaya za ma korapsheni, maneputizimu, maeskrow, maepa,matusi na sifa mbaya za madentisti zitapotea tu…ingekula kwetu kwa Wadanganyika kama tungemchagua dokta wa mihogo na mkewe ni misi kisamvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…