Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

Bora hata huyu mama angekuwa mgombea wenu. Mpaka sasa ameongea kwa muda mrefu kuliko fisadi.
 
Nakumbuka alivyotiririkwa machozi siku Mzee alivyoachia Uwaziri mkuu. Ilisikitisha sana. Lakini huu mapambano ni mzito zaidi kwake.

mkuu umenikumbusha mbali siku ile dodoma lakini mpaka sasa machozi yake yameshafutwa wamefarijika sana kuona jinsi watanzania wanavyoonyesha upendo mkuu kwao
 
Hii couple ya Regina & Edward Lowassa tamu sana.
Kwanza wako smart,wanatupia ni hatareeee.
Sio wale wavaa malapulapu wa upande wa pili.
Nachelea kusema kuwa hii ni COUPLE YA USHINDI!

Hahaha.... nifah made my day, ila kusema kweli Regina anauza (photogenic), Lowassa ni brand kuna nin tena hapo... Mungu sikiliza kilio cha walio wengi, eeh Mungu hebu tupe Na sisi upinzani walau miaka 5
 
Ukiondoa Nyerere,hakuna mtanzania ambaye ameteka mioyo ya watanzania kama Lowassa-kitendo cha watu kupiga barabara deki kabla hajapita ni indication kubwa ya msimamo wa the man in the street kwa Lowassa
 
Anatabasamu kama malaika kweli Lowassa alichangua mke na sis wapenda mabadiliko tusimwangushe Rais wetu mtarajiwa Lowassa!!
 
Back
Top Bottom