Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

bila fiesta hapo wala bila malori na sapota ya domo
 
First lady wetu katika ubora wake....

Viva Mamaaaa......

Viva ukawa......

Viva mabadiliko.....
 
Anatabasamu kama malaika kweli Lowassa alichangua mke na sis wapenda mabadiliko tusimwangushe Rais wetu mtarajiwa Lowassa!!
 
Bavicha bhana wamebaki kusifia tuu wake za watu utafikiri uzuri ndio kura...
 
Hii habari si nzuri kwa lumumba fc huyu mama ni tishio kwao
 
Yani nikionaga picha ya huyu mama, najikuta natabasamu, sijuagi hata kwanini.
 
Muumba mbingu na nchi huwainua wapole kwa wakati wake na kuwashusha wenye kiburi. Hekima hujitetea yenyewe, ndicho kinachojidhihirisha kwa hii familia.
go Regina goo Lowasa gooo Ukawa and viva Chadema!.
 
Back
Top Bottom