Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 744
- 660
hongera first lady
unapoelekea sikoNatamani angekuwa mama yangu mzazi.Lakini kwa sababu ni mama Wa taifa ndio bora zaidi.
mwambie mama ako aitishe mkutano wa mtaa tu tuoneBavicha bhana wamebaki kusifia tuu wake za watu utafikiri uzuri ndio kura...
Mkutano wa mke wa mgombea urais kupitia Chadema na anayeungwa mkono na umoja wa Ukawa Ndg. Edward Lowasaa.
View attachment 297650View attachment 297652View attachment 297653View attachment 297654
Mimi nishasema nikipata msichana kama huyu naagana na ubachela!!
unapoelekea siko