Life tight nyi mnataka wakale wapi sasa! Image ya nini? Hili li nji halina image wala ni ni wangeboresha maisha ya watz ndo wawapge marufuku kufanya biashara hizo! Acheni kabisa maisha ni hatari kwa sasa,
Life tight nyi mnataka wakale wapi sasa! Image ya nini? Hili li nji halina image wala ni ni wangeboresha maisha ya watz ndo wawapge marufuku kufanya biashara hizo! Acheni kabisa maisha ni hatari kwa sasa,
Naomba wahusika waangalie suala la mama ntilie waliojipanga nyerere road kuanzia jet kuja mjini kwani wanapika nje nje utafikili wapo nyumbani kwao hasa wkt wa asbh..kwa mm naona haipo sahihi kwani hii ni njia muhimu na inaharibu image ya mji labda jiji liwajengee vibanda vya standard nzuri..
Binafis napenda chakula kinapopikiwa nipaone!hayo mambo ya kupikia makwao siyo inshuKwa nn wasipikie makwao hlf wakapeleka pale wawauzie wateja wao..usafi wa mazingira hauhitaji hali ya maisha
Nimepita jana nikitokea Mwanza na 540...its true mkuu,tena wameweka Mafiga,kuni za mbao...afu wanatupia uchafu ktk ile mitalo n.k!very unpleasent image!nilichukua picha....ntaweka badae kidogo
Haya bwana tumesha jua ulipanda ndege.Nimepita jana nikitokea Mwanza na 540...its true mkuu,tena wameweka Mafiga,kuni za mbao...afu wanatupia uchafu ktk ile mitalo n.k!very unpleasent image!nilichukua picha....ntaweka badae kidogo
wawawekee mazingira mazuri ya biashara kuliko ilivyo hivi sasa!
kwa nn wasipikie makwao hlf wakapeleka pale wawauzie wateja wao..usafi wa mazingira hauhitaji hali ya maisha
heee kusafirisha huo ubwabwa mpaka ufike pale ni ishu! Kwanza huko kwenye daladala atasimangwa na kindoo chake hatapata usafiri kwa wakati mpaka huo ubwabwa uwe ndaza ! Bora wawajengee na kuwatengezea mazngra mazuri ili kuwasaidia!!! Pole kwa safari toka huko ,vipi huduma za 540 ziko bomba?
Dada Yangu,
Kusafirisha chakula si ishu kubwa, mbona huwa tunapanda na ndoo za samaki toka feri hadi makwetu huko uswazi? Hapa kama wangekubali ushauri basi wapike chakula huko kwao, then wasafirishe na kuja kuuza maeneo hayo ambapo kuna wateja wao. Wasipikie hapo kando ya mitaro
kwan 2mekuuliza kama umepanda ndege.
Mama lishe wanapika kama vile wapo kwao, na wateja wao wanakula kama vile wapo kwao !!
JF bwana mtu hawezi kuchangia bila kujipaisha kidogo.Haya bwana tumesha jua ulipanda ndege.
Huku ni furaha tupu, wachezaji tumelamba $ 59,000 kila mmoja, ambayo ni sawa na Shilingi million 92 za huko kwenu Bongo. Pombe imeadimika kabisa, mashabiki wamekunywa hadi pombe zimeisha (nadhani unaujua unywaji wetu, kreti lazima iwe chini ya kitanda halafu unavuta moja moja!). Hizo million 92 kwa kila mchezaji ni kutoka serikalini, bado taasisi na watu binafsi waliofurahishwa kama Azim Dewji, mbongo mwenzenu, naye amemwaga million 22 kwa timu nzima! Mimi Sinkala na nahodha wetu Chris Katongo ni wanajeshi, tumepandishwa vyeo, mimi nimekuwa Sergeant kutoka koplo, na mwenzangu Katongo amekuwa Warrant Officer I kutoka Warrant Officer II. FIFA ranking tumekuwa wa 43, na tumepanda nafasi 28 ukilinganisha na kabla ya AFCON. Ni raha tupu.vp habari za Lusaka?nasikia mmepewa madolar ya kufa mtu!tugawiane
Naomba wahusika waangalie suala la mama ntilie waliojipanga nyerere road kuanzia jet kuja mjini kwani wanapika nje nje utafikili wapo nyumbani kwao hasa wkt wa asbh..kwa mm naona haipo sahihi kwani hii ni njia muhimu na inaharibu image ya mji labda jiji liwajengee vibanda vya standard nzuri..