Machozi ya mamaba anakula huku analia.
Hizo picha za unafik tu.
Wnawaua hao watoto, wazee, viijana, kwa mambomu ya kila namna na mkwa sababu za kijinga kabisa. Eti wanatafuta silaha za maangamizi. Amazo mpaka leo hawajaziona na Iraq haikaliki, watoto zaidi ya million 1 waliouliwa na USA na vibaraka wao. Mbona hatujawasikia mkiesema wala kuwahurumia hata siku moja?
Leo mnaleta vipicha vyenu eti nani kama mama.
Unasema tusilete "udini"? Unafikiri hao wanaoulia Iraq na sasa Syria wengi wao ni wa dini ipi? Ulishalisema hilo hata siku moja? Bashir kakosa nini? Saddam alikosa nini? Gaddafi kakosa nini?
Kuna watu wenyewe kila vita vikitokea wakwanza kimlaumu ni mmarekani. Wakati mara nyingi hivyo vita wanavianzisha wao kwa kisingizio eti imeandikwa ukifia dini sio dhambi na ukifa utakako enda lazima upate zawadi.
Kwa hili nakubaliana na wewe kabisa, unahamia wanaoufanya haukubaliki...Wawaulie wazee wao halafu wajidai wana huruma?
Washenzi tu hao kinawatoa nini makwao kwenda kuuwa nje?
Wawaulie wazee wao halafu wajidai wana huruma?
Washenzi tu hao kinawatoa nini makwao kwenda kuuwa nje?
Naam nalia sana usiku na mchana, kwa unyama kama huu:
Walikosa nini hao?
Halafu anakuja mtu eti anawasifu.
Naiona Tanzania ikiingia kwenye vita vya udini miaka michache ijayo. Tuombe Mungu tuchague viongozi wenye maono watunusuru na hii mihemko inayoinyemelea taifa
Ikiwa viongozi kama Lowassa na Lukuvi wanaenda makanisani na kuongea waliyoyaongea basi upo sahihi.
Na ikiwa wachungaji kama Gwajima wanaenda kutangaza kuwa wanataka misikiti waigeuze Sunday school basi upo sahihi sana.
Salaam kwako Faiza Foxy. WaTZ wengi hatujui siasa zinazoendelea kwenye nchi zenye migogoro na jambo usilolijua litakusumbua. Mengi yanayoonekana kwenye media ni propaganda kama hizi zinazoendelea sasa kuelekea uchaguzi mkuu.
Ni vema tujadili yanayotuzunguka na tuliyo na ujuzi nayo kuliko kuleta ushabiki wa kidini tena unaoanzia mataifa ya mbali. Mfano leo USA wamesema hospitali ya Kunduz ilipigwa kwa maombi ya serikali ya Afghanistan, nani anajua ukweli wa ndani kwenye hili na kwanini serikali hiyo iombe msaada wa hivyo? Kama suala ni Taleban mbali na kuichukua Kunduz mbona haohao wanashirikiana na serikali hiyohiyo sehemu nyingine!! Yanayotokea Syria yalianzishwa na wa-Syria wenyewe baada ya kuchoshwa na utawala wa miaka nenda rudi wa familia moja. Mataifa yamejaribu kuingilia kati kutaka kusaidia ikiwa ni pamoja na kupambana na vikundi vinavyoamika kuwa hatari kwa ustawi wa mataifa mengine lakini hali inakuwa tete siku hadi siku. Udini umeingizwa hapa lakini mimi sikubaliani na hilo. Narudia kusema tena, usilolijua litakusumbua.
Hakuna vita mbaya duniani kama vita za kidini na tukubali tusikubali kwa Tanzania ni bora turudi tu kwenye ujima wetu wa miaka ya 90 ambao bado umetufnya wamoja hadi hii leo. Mbele ya Mwenyezi Mungu mbora ni yule anayemwabudu, kumuomba na kumshukuru kwa kila jambo. Sasa kama wewe ni Muislam, Mkristo, Mbudha, Mpagani, nk. simama kwenye imani yako na kuendelea kuomba pepo. Wanayohubiri masheikh, wachungaji na viongozi wengine kama yapo kwenye maandiko yanayoaminika matakatifu kwa kila wafuasi na waumini wao na waendelee kuamini hivyo bila kukwaza wengine. Muhimu kujua kuwa ulikuja duniani peke yako ukiwa dhaifu, na utaiacha dunia ukiwa peke yako na dhaifu, sasa vipi umsumbue mwingine!! Sijaona katika vitabu vyote kwamba ukiwa na mihemko katika kuhubiri dini utapata pepo, ni udhaifu tu wa kibinadamu huo.
Mwenye masikio na asikie
Wewe wacha porojo ndefu zisizo na mpango. Kunduz inahusu nini? Syria inahusu nini?
Unataka kubadili mjadala?
Nisome tena:
By FaizaFoxy
Ikiwa viongozi kama Lowassa na Lukuvi wanaenda makanisani na kuongea waliyoyaongea basi upo sahihi.
Na ikiwa wachungaji kama Gwajima wanaenda kutangaza kuwa wanataka misikiti waigeuze Sunday school basi upo sahihi sana.
Ila we Dada mdini sana dah
Huwa unajifanyaga unajua kumbe juha tu
usijione Muislamu peke yako humu! acha kuidhalilisha dini yako na kujidhalilisha mwenyewe.. ukikaa kimya utaonekana una hekima zaidi
Makafiri wafe tu maana wakifa dini yao inasema wanakwenda mojakwamoja peponi. Kwahiyo hawa Makafiri wawe watoto Au wazee Au vijana wafe tuuuu maana kufa ni kwenda peponi. Hujawaona mahujaji wamekwenda kumpiga mawe shetani alafu shetani kawapiga bao ya watu zaidi ya elfu nne! !!!! Lakini pia huwa najiuliza mji mtakatifu unakuwa na makao ya shetani tena?
Wewe wacha porojo ndefu zisizo na mpango. Kunduz inahusu nini? Syria inahusu nini?
Unataka kubadili mjadala?
Nisome tena:
By FaizaFoxy
Ikiwa viongozi kama Lowassa na Lukuvi wanaenda makanisani na kuongea waliyoyaongea basi upo sahihi.
Na ikiwa wachungaji kama Gwajima wanaenda kutangaza kuwa wanataka misikiti waigeuze Sunday school basi upo sahihi sana.